John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Yanga wanasaidikaje sasa hapa? Ilibidi zile point 3 wapewe
Hapo ni sawasawa na kusema Yanga ilionewa halafu cha ajabu hawapati haki yao iliyoporwa kwa uonevu huo. Warekebishe kanuni zaoYanga wanasaidikaje sasa hapa? Ilibidi zile point 3 wapewe
Uamuzi wa refa uwanjani ndiyo wa mwisho. Sheria hii ni ya kikatili sanaYanga wanasaidikaje sasa hapa? Ilibidi zile point 3 wapewe
Siyo marefa tu kanunua mpaka TFF yote na Bodi ya Ligi.Halafu utaskia GSM anahonga marefa..!
Halafu wanyang'anywe zile za Namungo na polisi tzYanga wanasaidikaje sasa hapa? Ilibidi zile point 3 wapewe
Kanunua mpaka watangazaji wa radio na magazeti..Siyo matefa kanunua mpaka TFF yote na Bodi ya Ligi.
Kwani mayele alifunga ule mpira? Au unataka upewe goal wakati mpira haukuingia golini.Yanga wanasaidikaje sasa hapa? Ilibidi zile point 3 wapewe
Ukiondoa ukolo kichwani mwako, ukaangalia vizuri ile move utagundua kuwa mayele aliuacha ule mpira sababu firimbi iliita na kwa kuwa hamna hata VAR bongo hakuona haja ya kuumalizia. Otherwise alishampiga chenga mpaka goalkeeper so it was obvious angefunga.Kwani mayele alifunga ule mpira? Au unataka upewe goal wakati mpira haukuingia golini.
TFF Hii Ya Shabiki Kindakindaki Karia?Siyo marefa tu kanunua mpaka TFF yote na Bodi ya Ligi.