Refa amepiga filimbi ya kumaliza mpira baada ya kuona Simba SC wanataka kufungwa goli nyingine

Refa amepiga filimbi ya kumaliza mpira baada ya kuona Simba SC wanataka kufungwa goli nyingine

Shooter Again

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
5,603
Reaction score
9,263
Leo tumeona maamuzi mabovu ya refaree mechi ya Simba SC vs Coastal Union Mwamuzi kamaliza mpira mchezaji akiwa kwenye move ya kufunga goli hivi hizi mbeleko mpaka lini Hawa Simba SC aisee naagiza huyu refa afungiwe Simba SC hoi huko KMC Complex tukiwaambia timu hamna hapo wanakataa haya Leo wamebebwa walitaka kudharirika.

Soma Pia: Simba SC 2-2 Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024
 
Hivi Aya mambo wanayo Fanya marefa wahusika, kamati ya waamuzi, Bodi ya Ligi hamjisikii vibaya!! Mbona ni mambo yanayo jirudia Tena kwa timu Moja hamuoni kama Yana shusha hadhi ya Ligi yetu.

Hii Ligi inaonekana mpaka nje ya mipaka yetu hivi tunaonekana vipi?
 
Ligi hii ni aibu ndio maana niliacha kuifuatilia Leo naifuatiloa naona mbumbumbu fc wanabebwa
 
Back
Top Bottom