Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
"kufunga" ana kufungwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana nimesema kwa sasa ni ngumu kunielewa, maana tafsiri iliyoletwa hapa ni kwamba nimesema Yanga imebebwa, na ukweli sikusema hivyo.Jana Mdakuzi ulisema tumebebwa, hii ya leo ni nini?
Hili jambo linaleta afya kwa maendeleo ya mpira wetu?
Sawa…Ndiyo maana nimesema kwa sasa ni ngumu kunielewa, maana tafsiri iliyoletwa hapa ni kwamba nimesema Yanga imebebwa, na ukweli sikusema hivyo.
Mimi nimezungumzia kwa kulaani vitendo vya rushwa kwenye soka, hasa kwa hatua niliyoina ni mpya, ya klabu kumweka benchi nyota wake wa kikosi cha ushindi.
Mimi sijaikemea klabu yoyote ile, ila nimekemea mazingira ya rushwa kwenye soka. Basi.
Ova
Inasikitisha, binafsi siangaliagi mechi za Simba toka zile mechi walizopewa penati za kutatanisha. Jana kwa kuwa sikuwa na kazi niliwasha TV na kukuta sakika ya 70 huko. Nikakutana na lile goli la 2 la Coastal.Namna refa alivyomaliza game hata mashabiki wa Koloz wameangua kicheko. Tumecheka wote bandani. Ligi imeanza kuwa comedy sasa
Kama angekuwa anadhamini marefa kwa nini wameibeba simba hapa? Si refa angeacha wafungwe.GSM anawadhamini Coasaea na Chama cha Marefarii. Hilo ndilo jibu rahisi la wasiofikiri.
Hivi kwanini tu binadamu anasingiziwa makosaa na kwa nini makosa ya shetani hayatajwi?Makosa ya kibinadamu
Makosa hayo hayo yakifanyika kwa Mabingwa wao Yanga SC utasikia vilio vya lawama kila mahali.Makosa ya kibinadamu
Mwenye akili kavaa dera kucheza sherehe isiyomuhusu, si maajabu haya?😁Thread imejaa wasio na akili
Mwananchi jose💚Makosa ya kibinadamu
Nisamehe mimi mchumba, nimekosa mimi.Ni nini sababu ya kunitukana hivi? Ni huu mpira tu au kuna mengine ndugu yangu? Mbona maisha yangu humu huwa hayahusishi kumtukana yeyote?
Ni nini kilichokupa ujasiri wa kunitusi? Ni nini kimefanya uone unatosha kunivunjia heshima?
Nifah nadhani usiwe unaniita kwenye thread za hivi tena.
Ova
Hakuna sehemu nimekutukana. Usinilishe maneno wala kunivunjia heshima, pia usijipe umuhimu mkubwa namna hiyo usio nao.Ni nini sababu ya kunitukana hivi? Ni huu mpira tu au kuna mengine ndugu yangu? Mbona maisha yangu humu huwa hayahusishi kumtukana yeyote?
Ni nini kilichokupa ujasiri wa kunitusi? Ni nini kimefanya uone unatosha kunivunjia heshima?
Nifah nadhani usiwe unaniita kwenye thread za hivi tena.
Ova
Badala ya ligi kupanda viwango marefa wanatuangusha sanaHivi Aya mambo wanayo Fanya marefa wahusika, kamati ya waamuzi, Bodi ya Ligi hamjisikii vibaya!! Mbona ni mambo yanayo jirudia Tena kwa timu Moja hamuoni kama Yana shusha hadhi ya Ligi yetu.
Hii Ligi inaonekana mpaka nje ya mipaka yetu hivi tunaonekana vipi?
Mental case.Leo amechelewa kupuliza ili wafunge, upumbavu huu.