Refa amepiga filimbi ya kumaliza mpira baada ya kuona Simba SC wanataka kufungwa goli nyingine

Refa amepiga filimbi ya kumaliza mpira baada ya kuona Simba SC wanataka kufungwa goli nyingine

Leo tumeona maamuzi mabovu ya refaree mechi ya mbumbumbu fc vs coast union kocha kamaliza mpira mchezaji akiwa kwenye move ya kufunga gori hivi hizi mbeleko mpaka lini Hawa mbumbumbu fc aisee naagiza huyu refa afungiwe mbumbumbu fc hoi huko kmc complex tukiwaambia timu hamna hapo wanakataa haya Leo wamebebwa walitaka kudharirika
Pu zangu pamoja zimeviria damu kwa kuzifinya na Koleo ili Madunduka sc wasipate ushindi, wala sioni tatizo, nikimeza Panadol tu zitakuwa sawa uku nikishangilia 2-2 raha mustarehe.
 
Refa haruhusiwi kumaliza mpira kipindi timu inashambulia, nadhani hekima na busara imetumika.
 
Namna refa alivyomaliza game hata mashabiki wa Koloz wameangua kicheko. Tumecheka wote bandani. Ligi imeanza kuwa comedy sasa
Kwanini hawakushinda mda wote wa dakika 94, mje mlalamikie sekunde 10 za Refa?

Acheni hizo
 
Duuuh,ukiwa shabiki wa hz timu kuna kautaahira fulani kanaingia kwa ubongo nafikiri
 
Pole sana,yanga wenye akili inajulikana ni nani na nani,hivyo hamtusumbui,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mbumbumbu fc imekuuma hiyo sishangai chizi kujiona anaakili kumbe kajinyea🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mbumbumbu fc imekuuma hiyo sishangai chizi kujiona anaakili kumbe kajinyea🤣🤣🤣🤣🤣
Duh,Iniume kutoa sare?
Ningefungwa je ningekufa au?
Kuweni na akili kidogo nyie #Mataahira FC,🤣🤣🤣🤣
 
Leo tumeona maamuzi mabovu ya refaree mechi ya Simba SC vs Coastal Union Mwamuzi kamaliza mpira mchezaji akiwa kwenye move ya kufunga goli hivi hizi mbeleko mpaka lini Hawa Simba SC aisee naagiza huyu refa afungiwe Simba SC hoi huko KMC Complex tukiwaambia timu hamna hapo wanakataa haya Leo wamebebwa walitaka kudharirika.

Soma Pia: Simba SC 2-2 Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024
Hata mimi leo imemishangaza sana kuona mpira unaenda upande wa simba halafu refa anapuliza kipenga ni ajabu sana hata hivyo Mungu ni fundi dhuluma muda wote haileti mafanikio.
 
Hata mimi leo imemishangaza sana kuona mpira unaenda upande wa simba halafu refa anapuliza kipenga ni ajabu sana hata hivyo Mungu ni fundi dhuluma muda wote haileti mafanikio.
Hahahaha🤣🤣🤣
 
Leo tumeona maamuzi mabovu ya refaree mechi ya Simba SC vs Coastal Union Mwamuzi kamaliza mpira mchezaji akiwa kwenye move ya kufunga goli hivi hizi mbeleko mpaka lini Hawa Simba SC aisee naagiza huyu refa afungiwe Simba SC hoi huko KMC Complex tukiwaambia timu hamna hapo wanakataa haya Leo wamebebwa walitaka kudharirika.

Soma Pia: Simba SC 2-2 Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024

Nakala Kwa: Rais wa Wahuni - TIEFUEFU
 
Wachezaji wa coastal hawakutaka kucheza mpira tangu dakika za nyongeza ziketangazwa, nafikiri wanastahili walichopewa nje ya sheria za mchezo
Ingekuwa Simba Angemaliza Mechi Kw Staili Hiyo?
Hii TFF Lini Inamaliza Muda Wake?
 
Hivi Aya mambo wanayo Fanya marefa wahusika, kamati ya waamuzi, Bodi ya Ligi hamjisikii vibaya!! Mbona ni mambo yanayo jirudia Tena kwa timu Moja hamuoni kama Yana shusha hadhi ya Ligi yetu.

Hii Ligi inaonekana mpaka nje ya mipaka yetu hivi tunaonekana vipi?
Kama mwenye Nchi anaona hii dunia bado ni analogia itakuwa bodi ya ligi
 
Back
Top Bottom