Refa amepiga filimbi ya kumaliza mpira baada ya kuona Simba SC wanataka kufungwa goli nyingine

Pu zangu pamoja zimeviria damu kwa kuzifinya na Koleo ili Madunduka sc wasipate ushindi, wala sioni tatizo, nikimeza Panadol tu zitakuwa sawa uku nikishangilia 2-2 raha mustarehe.
 
Refa haruhusiwi kumaliza mpira kipindi timu inashambulia, nadhani hekima na busara imetumika.
 
Namna refa alivyomaliza game hata mashabiki wa Koloz wameangua kicheko. Tumecheka wote bandani. Ligi imeanza kuwa comedy sasa
Kwanini hawakushinda mda wote wa dakika 94, mje mlalamikie sekunde 10 za Refa?

Acheni hizo
 
Duuuh,ukiwa shabiki wa hz timu kuna kautaahira fulani kanaingia kwa ubongo nafikiri
 
Pole sana,yanga wenye akili inajulikana ni nani na nani,hivyo hamtusumbui,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mbumbumbu fc imekuuma hiyo sishangai chizi kujiona anaakili kumbe kajinyea🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mbumbumbu fc imekuuma hiyo sishangai chizi kujiona anaakili kumbe kajinyea🤣🤣🤣🤣🤣
Duh,Iniume kutoa sare?
Ningefungwa je ningekufa au?
Kuweni na akili kidogo nyie #Mataahira FC,🤣🤣🤣🤣
 
Hata mimi leo imemishangaza sana kuona mpira unaenda upande wa simba halafu refa anapuliza kipenga ni ajabu sana hata hivyo Mungu ni fundi dhuluma muda wote haileti mafanikio.
 
Hata mimi leo imemishangaza sana kuona mpira unaenda upande wa simba halafu refa anapuliza kipenga ni ajabu sana hata hivyo Mungu ni fundi dhuluma muda wote haileti mafanikio.
Hahahaha🤣🤣🤣
 
Thread imejaa wasio na akili
 
Your browser is not able to display this video.


Nakala Kwa: Rais wa Wahuni - TIEFUEFU
 
Wachezaji wa coastal hawakutaka kucheza mpira tangu dakika za nyongeza ziketangazwa, nafikiri wanastahili walichopewa nje ya sheria za mchezo
Ingekuwa Simba Angemaliza Mechi Kw Staili Hiyo?
Hii TFF Lini Inamaliza Muda Wake?
 
Kama mwenye Nchi anaona hii dunia bado ni analogia itakuwa bodi ya ligi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…