ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Penati halali kabisaDkk ya 87 R.s. Berkane wanatunukiwa penati ambayo hata kosa lenyewe halionekani!
We acha tu,inauma sana.Nliwahi kuleta uzi humu kuhusu mpira wa Africa nlisambuliliwa sana nikaonekana mimi shabiki wa Yanga , baadae watu wakaumizwa huko South Africa, leo mmeona wenyewe
CAF ni moja ya taasisi dhaifu sana yaani swala la waamuzi limewashinda kabisa, una angalia mpira hadi unaona aibuWe acha tu,inauma sana.
Hizi sheria17 huku afrika wangetuacha tu sheria zetu za zamani.
Saa hizi waamuzi wangekuwa chumba cha wagonjwa mahuruti.
NI MGUU WA ROHO TU
Mwape alikua na yellow card halafu akaenda mfokea refa alitegemea nini?Ni katika duru ya pili ya marudiano sasa ni dkk ya 83,T.P.Mazembe wanacheza wakiwa pungufu,waamuzi ni kama wote wako upande wa berkane,
Kila juhudi hapa inafanyika mazembe watolewe.very sad mpira wetu wa afrika.hadi sasa aggregate inasoma 2-2.
Tusubiriw wana jangwani mwakan na wao wakapakatwe huko ..maana si wanafikiri ni simple simpleNi katika duru ya pili ya marudiano sasa ni dkk ya 83,T.P.Mazembe wanacheza wakiwa pungufu,waamuzi ni kama wote wako upande wa berkane,
Kila juhudi hapa inafanyika mazembe watolewe.very sad mpira wetu wa afrika.hadi sasa aggregate inasoma 2-2.
Hapana usimtetee refa..Toka mwanzo wa mchezo mwamuzi amekua mkali sana kwa Mazembe hadi unashangaa ninini?..sababu mazembe on aggregate walikua mbele..wala hawakua na panic yeyote zaidi ya kushambulia na ndiyo kisa goli walilofungwa wamechomoa ndani ya dakika mbili tu...Mwape alikua na yellow card halafu akaenda mfokea refa alitegemea nini?
Soze kamchapa mtu ndani ya boksi alitegemea nini?
Nidhamu ya mchezo imewatoa Tp mazembe, na sio refa kama malalamiko yako. Gassama ni moja ya marefa bora sana Africa na atakuepo pia world cup.
Huyu Refa chizi ila Mazembe mandezi Berkane ya kawaida sanaNi katika duru ya pili ya marudiano sasa ni dkk ya 83,T.P.Mazembe wanacheza wakiwa pungufu,waamuzi ni kama wote wako upande wa berkane,
Kila juhudi hapa inafanyika mazembe watolewe.very sad mpira wetu wa afrika.hadi sasa aggregate inasoma 2-2.
Huyo refa ana ubora gani? Ndie alichezesha mechi ya South Africa na Ghana akatoa penalty ya ajabu huyuMwape alikua na yellow card halafu akaenda mfokea refa alitegemea nini?
Soze kamchapa mtu ndani ya boksi alitegemea nini?
Nidhamu ya mchezo imewatoa Tp mazembe, na sio refa kama malalamiko yako. Gassama ni moja ya marefa bora sana Africa na atakuepo pia world cup.
Simba angeweza wako vyedi wale sio utopolo...yanga watapata tabu sananendapo watacheza makundi ya CAF competitionSimba angefuzu akaingia nusu fainali asingeweza ile figisu,imagine Mazembe ambao ni wazoefu fitina waliyofanyiwa