Refa anawabeba R.S.Berkane Wazi wazi

Refa anawabeba R.S.Berkane Wazi wazi

Dkk ya 87 R.s. Berkane wanatunukiwa penati ambayo hata kosa lenyewe halionekani!
 
Ifikie wakati hizi fainali za afrika ziwe zinachezewa ulaya na waamuzi wawe wazungu..
Maana kwa hizi rushwa hapana....mzungu haongeki.
 
Nliwahi kuleta uzi humu kuhusu mpira wa Africa nlisambuliliwa sana nikaonekana mimi shabiki wa Yanga , baadae watu wakaumizwa huko South Africa, leo mmeona wenyewe
We acha tu,inauma sana.
Hizi sheria17 huku afrika wangetuacha tu sheria zetu za zamani.
Saa hizi waamuzi wangekuwa chumba cha wagonjwa mahuruti.
NI MGUU WA ROHO TU
 
CAF ni moja ya taasisi dhaifu sana yaani swala la waamuzi limewashinda kabisa, una angalia mpira hadi unaona aibu
 
Ni katika duru ya pili ya marudiano sasa ni dkk ya 83,T.P.Mazembe wanacheza wakiwa pungufu,waamuzi ni kama wote wako upande wa berkane,
Kila juhudi hapa inafanyika mazembe watolewe.very sad mpira wetu wa afrika.hadi sasa aggregate inasoma 2-2.
Mwape alikua na yellow card halafu akaenda mfokea refa alitegemea nini?
Soze kamchapa mtu ndani ya boksi alitegemea nini?
Nidhamu ya mchezo imewatoa Tp mazembe, na sio refa kama malalamiko yako. Gassama ni moja ya marefa bora sana Africa na atakuepo pia world cup.
 
Tusubiriw wana jangwani mwakan na wao wakapakatwe huko ..maana si wanafikiri ni simple simple
 
Mwape alikua na yellow card halafu akaenda mfokea refa alitegemea nini?
Soze kamchapa mtu ndani ya boksi alitegemea nini?
Nidhamu ya mchezo imewatoa Tp mazembe, na sio refa kama malalamiko yako. Gassama ni moja ya marefa bora sana Africa na atakuepo pia world cup.
Hapana usimtetee refa..Toka mwanzo wa mchezo mwamuzi amekua mkali sana kwa Mazembe hadi unashangaa ninini?..sababu mazembe on aggregate walikua mbele..wala hawakua na panic yeyote zaidi ya kushambulia na ndiyo kisa goli walilofungwa wamechomoa ndani ya dakika mbili tu...
Sasa waarab mdiyo waliokua wakicheza mpira wa nguvu ku force goli..wamecheza rafu nyingi wao na bado refa amepotezea tu
 
Ni katika duru ya pili ya marudiano sasa ni dkk ya 83,T.P.Mazembe wanacheza wakiwa pungufu,waamuzi ni kama wote wako upande wa berkane,
Kila juhudi hapa inafanyika mazembe watolewe.very sad mpira wetu wa afrika.hadi sasa aggregate inasoma 2-2.
Huyu Refa chizi ila Mazembe mandezi Berkane ya kawaida sana
 
Mwape alikua na yellow card halafu akaenda mfokea refa alitegemea nini?
Soze kamchapa mtu ndani ya boksi alitegemea nini?
Nidhamu ya mchezo imewatoa Tp mazembe, na sio refa kama malalamiko yako. Gassama ni moja ya marefa bora sana Africa na atakuepo pia world cup.
Huyo refa ana ubora gani? Ndie alichezesha mechi ya South Africa na Ghana akatoa penalty ya ajabu huyu
 
Simba angefuzu akaingia nusu fainali asingeweza ile figisu,imagine Mazembe ambao ni wazoefu fitina waliyofanyiwa
Simba angeweza wako vyedi wale sio utopolo...yanga watapata tabu sananendapo watacheza makundi ya CAF competition

Maana kule Haji hatakuwa na nguvubya kuitisha press na kupiga kelele zake....

Hawa Orlando Pirate lzm wakong'otwe na yule kocha wao Msema ovyo ndio ataenda kukutana na figisu sasa
 
Back
Top Bottom