Refa kapeta faulo aliochezewa Zimbwe ndani ya box!

Shida ninkwamba wachezajinwetu wa Simba waliwapania kuwatoboa kidude vijana wa jangwani sasa hapo nafikir walikosea sanaa

Yaan leo hii chezaj kama kibwana shomari eti anaimbwaa ... Mchezaji hajui ata beji ya CAF CL ina fananaje ...
 
Mkuu acha ushabiki,Dogoanaupiga !
Shida ninkwamba wachezajinwetu wa Simba waliwapania kuwatoboa kidude vijana wa jangwani sasa hapo nafikir walikosea sanaa

Yaan leo hii chezaj kama kibwana shomari eti anaimbwaa ... Mchezaji hajui ata beji ya CAF CL ina fananaje ...
 
Inaonekana hukutazama vizuri mpira. Zimbwe alichezewa faulo wakati mpira ulishakuwa kautanguliza sana na hakuwa kwenye uwezekano wa kuupata hata kama asingewekewa mguu . Kwa lugha nyingine tunaweza kusema
1 Alifanyiwa faulo akiwa hana mpira
2 Penatinatolewa kama faulo yako inamnyima mtu uwezekano wa kwenda kufunga au uwezekano wa kupasiwa mpira ili ukafunge.
NB
Nimetoa tu ufafanuzi nikiwa sijui chochote kuhusu Sheria za mpira
 
Simba wameacha kulalamika siku ni vitendo tu hyo ingetokea upande wa pili ungesikia kelele zake maana wale jamaa hawajui kukaa kimya.
 
Inaonekana hukutazama vizuri mpira. Zimbwe alichezewa faulo wakati mpira ulishakuwa kautanguliza sana na hakuwa kwenye uwezekano wa kuupata hata kama asingewekewa mguu . Kwa lugha nyingine tunaweza kusema
1 Alifanyiwa faulo akiwa hana mpira
2 Penatinatolewa kama faulo yako inamnyima mtu uwezekano wa kwenda kufunga au uwezekano wa kupasiwa mpira ili ukafunge.
NB
Nimetoa tu ufafanuzi nikiwa sijui chochote kuhusu Sheria za mpira
Safi

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Makolo wana bahati sana
bahati ya zero shot on target

CD6EAB03-46C3-4F11-9863-9C6CF181855E.png
 
Shida ninkwamba wachezajinwetu wa Simba waliwapania kuwatoboa kidude vijana wa jangwani sasa hapo nafikir walikosea sanaa

Yaan leo hii chezaj kama kibwana shomari eti anaimbwaa ... Mchezaji hajui ata beji ya CAF CL ina fananaje ...
Chizi alipoenda kwa kibwana alifanya kitu chochote?
Mzee ulikuwa hautazami mpira? Mbona maswali mengi sana
Nilikuwa najiuliza kwa sauti
Mbona chizi yupo mahabusu naskia?
 
Jamaa wamezoea penalty za michongo, kwenye ligi Wana penalty nyingi Tena kati ya hizo penalty nyingi za mchongo.
 
Back
Top Bottom