Refa kapeta faulo aliochezewa Zimbwe ndani ya box!

Refa kapeta faulo aliochezewa Zimbwe ndani ya box!

Morisson alitakiwa kadi nyekundu na pia Aucho.
Penati ya Zimbwe ni wazi kabisa refa alikosea kutotoa adhabu. Simba walinyimwa penati halali.
 
Morisson alitakiwa kadi nyekundu na pia Aucho.
Penati ya Zimbwe ni wazi kabisa refa alikosea kutotoa adhabu. Simba walinyimwa penati halali.
We ni yule bint mchambuzi wa pale efm?
 
Shida ninkwamba wachezajinwetu wa Simba waliwapania kuwatoboa kidude vijana wa jangwani sasa hapo nafikir walikosea sanaa

Yaan leo hii chezaj kama kibwana shomari eti anaimbwaa ... Mchezaji hajui ata beji ya CAF CL ina fananaje ...
FB_IMG_16514643879728793.jpg
 
Wachezaji wetu waache kula chipsi mayai, upepo tu unamuangusha mchezaji alafu tunataka penalti!
 
Back
Top Bottom