Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Shida ninkwamba wachezajinwetu wa Simba waliwapania kuwatoboa kidude vijana wa jangwani sasa hapo nafikir walikosea sanaa
Yaan leo hii chezaj kama kibwana shomari eti anaimbwaa ... Mchezaji hajui ata beji ya CAF CL ina fananaje ...
Mzee ulikuwa hautazami mpira? Mbona maswali mengi sanaKadi ya kipa wa yangu ni ya kosa gani?Chizi alibamiz mpira ,akamkaba kipa,na akacheza rafu nyingi tu alifanywaje?
Mpaka wangeita press na yule mropokaji wao mmasai wa Buza.Simba wameacha kulalamika siku ni vitendo tu hyo ingetokea upande wa pili ungesikia kelele zake maana wale jamaa hawajui kukaa kimya.
SafiInaonekana hukutazama vizuri mpira. Zimbwe alichezewa faulo wakati mpira ulishakuwa kautanguliza sana na hakuwa kwenye uwezekano wa kuupata hata kama asingewekewa mguu . Kwa lugha nyingine tunaweza kusema
1 Alifanyiwa faulo akiwa hana mpira
2 Penatinatolewa kama faulo yako inamnyima mtu uwezekano wa kwenda kufunga au uwezekano wa kupasiwa mpira ili ukafunge.
NB
Nimetoa tu ufafanuzi nikiwa sijui chochote kuhusu Sheria za mpira
Morrison Alitakiwa Kupata Red Card Kipindi Cha Kwanza Tu Mbona Hilo Husemi Pia?Maoni yangu ile ilikuw faulo kabisaa ndan ya box na ilipaswa ipigwe penant!
Wachambuzi hawalioni hili?.........
Dadeki zako [emoji196]nitakutafuta nusu fainali FA!
Chizi alipoenda kwa kibwana alifanya kitu chochote?Shida ninkwamba wachezajinwetu wa Simba waliwapania kuwatoboa kidude vijana wa jangwani sasa hapo nafikir walikosea sanaa
Yaan leo hii chezaj kama kibwana shomari eti anaimbwaa ... Mchezaji hajui ata beji ya CAF CL ina fananaje ...
Nilikuwa najiuliza kwa sautiMzee ulikuwa hautazami mpira? Mbona maswali mengi sana
Utopolo hawana shuti lililolenga goli. Kulikuwa hakuna haja ya kumuweka kipa golini.bahati ya zero shot on target
Dakika ya mwisho denis nkane ameshuti na manula alidaka.Utopolo hawana shuti lililolenga goli. Kulikuwa hakuna haja ya kumuweka kipa golini.
😀😀 Unatakiwa uwe refa wa buza aseeJuzi walikuwa wanalalamika orlando kanyimwa penati leo simba kanyimwa penati wako kimya na wachambuzi wao feki