Refa na Mkufunzi wa FIFA akataa goli la Yanga

Unaweza kuthibitisha kua hio barua unayo iona kwenye mitandao ndio iliyotumwa CAF?
Ukiwa mshabiki wa yanga akili sijui huwa zinaenda wapi.... yaan barua ina anwani ya huko inakoenda halafu naulizwa eti dhibitisha kama inaenda CAF๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Ukiwa mshabiki wa yanga akili sijui huwa zinaenda wapi.... yaan barua ina anwani ya huko inakoenda halafu naulizwa eti dhibitisha kama inaenda CAF[emoji28][emoji28]
Kwamba anuani ndio uthibitisho? bora nikose akili kuliko kua jinga kama wewe
 
Kwamba anuani ndio uthibitisho? bora nikose akili kuliko kua jinga kama wewe
Ulipokuwa darasani unafundishwa sifa za barua uliambiwa anwani sio sifa ya barua? Kwa hiyo uongozi umeandika barua halafu ikachanwa isipelekwe ili kumfurahisha nani
 
Dili na timu yako mbovu mkuuu haya ya kudili na Yanga Sc ndio yanafanya Leo mmefungwa huko kigoma
 
Ulipokuwa darasani unafundishwa sifa za barua uliambiwa anwani sio sifa ya barua? Kwa hiyo uongozi umeandika barua halafu ikachanwa isipelekwe ili kumfurahisha nani
Nmekuuliza hio barua umeitoa kwenye official page ya taasisi gani maana akili yako ndogo kila unacho ona mtandaoni una beba
 
Tatizo kubwa pale ni camera ya juu ya goli. Huwezi kupata uamuzi wa jambo tata kama lile bila camera ya juu ya goli.

Waamuzi huwa wana msingi wa ni heri kukataa goli halali kuliko kukubali goli la uongo. Msingi huu huumiza sana mashabiki.

Ova
 
Hii ni kazi ya mashabiki, ndio kazi yetu kupiga kelele focus tunaiachia timu. Kumbuka hapa tunatambiana tu simba na yanga basi. Kwahiyo kila mtu anatanua msuli wake. Haina maana ya kubadilisha jambo lakini walau tukiongea nyongo zinapungua.
Na iwe hivyo
 
Tupeni account yake insta tukamtemee maji ya madimbwini...
 
Kutoka kwa Shimba ya buyenze
 
Ye ka nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ