wakali ndondo
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 389
- 607
Ulitaka aache watu waendelee kutiwa madoleBila kung'atang'ata maneno naiomba TFF wamfungie huyu mwamuzi kwa kitendo cha kutoa kadi nyekundu isiyo ya halali dhidi ya mchezaji wa Namungo katika mchezo unaoendelea hapo uwanja wa Majaliwa .
Ni wazi huyu mwamuzi ni pandikizi lililotumwa ili kujustify tukio la upangaji wa matokeo uliofanywa na Yanga wakishirikiana na Singida Black Stars.
Sisi wanasimba hatukubaliani na upumbavu huu. Tunataka kabumbu safi bila ya mipango ya upangaji wa matokeo
Unaskiliza mpira kwenye radio? Ukicheza foul ndani ya boksi ni penat hiyoTimu gani hii! Mpaka ipewe penati ya mchongo, au kadi nyekundu kwa mpinzani wake ndiyo inashinda!!
Ukicheza na tawi hata hautumii nguvu kubwa mpaka kuongea na refa, unapanga tu kikosi cha 3 kama walivyofanya Singida juzi.Namungo ndio refa aliyetoa kadi nyekundu? Yani unategemea ushindi wa Rose mhando na bado unatamba?
Unakenua sasa hivi we subilia Kuna kilio kinakuja utabweka kama mbwa,,niliwaambia mmechokoza nyuki kwenye mzinga,,atutaki ushauri!Ukicheza na tawi hata hautumii nguvu kubwa mpaka kuongea na refa, unapanga tu kikosi cha 3 kama walivyofanya Singida juzi.
*PENALTY 🐗Bila kung'atang'ata maneno naiomba TFF wamfungie huyu mwamuzi kwa kitendo cha kutoa kadi nyekundu isiyo ya halali dhidi ya mchezaji wa Namungo katika mchezo unaoendelea hapo uwanja wa Majaliwa .
Ni wazi huyu mwamuzi ni pandikizi lililotumwa ili kujustify tukio la upangaji wa matokeo uliofanywa na Yanga wakishirikiana na Singida Black Stars.
Sisi wanasimba hatukubaliani na upumbavu huu. Tunataka kabumbu safi bila ya mipango ya upangaji wa matokeo
Au sioUnakenua sasa hivi we subilia Kuna kilio kinakuja utabweka kama mbwa,,niliwaambia mmechokoza nyuki kwenye mzinga,,atutaki ushauri!
Ulishiriki kwenye kupanga?Bila kung'atang'ata maneno naiomba TFF wamfungie huyu mwamuzi kwa kitendo cha kutoa kadi nyekundu isiyo ya halali dhidi ya mchezaji wa Namungo katika mchezo unaoendelea hapo uwanja wa Majaliwa .
Ni wazi huyu mwamuzi ni pandikizi lililotumwa ili kujustify tukio la upangaji wa matokeo uliofanywa na Yanga wakishirikiana na Singida Black Stars.
Sisi wanasimba hatukubaliani na upumbavu huu. Tunataka kabumbu safi bila ya mipango ya upangaji wa matokeo
Kabisa!Kabisa nyie hambebwi mnashinda kwa jasho.
Mkuu wewe uliangalia vizuri,Aliwakusanya Ateba na mpanzu akawasukuma kama magunia,kuna jambo Ateba akaenda kumwuliza hapo ndio tukio lilianzia.Sasa SIJUI alitukana au vipiMimi mwenyewe nilidhani hivyo na sikuiafiki hiyo kadi ila kuna upuuzi huyo mchezaji amefanya kwa Ateba.
Ile kadi nyekundu refa kashikwa wapi? Au tuna angalia matangazo tofauti.
Hapana siyo ishu ya kutukanaMkuu wewe uliangalia vizuri,Aliwakusanya Ateba na mpanzu akawasukuma kama magunia,kuna jambo Ateba akaenda kumwuliza hapo ndio tukio lilianzia.Sasa SIJUI alitukana au vipi
Sahihi kabisa. Nadhani yule mchezaji atapewa adhabu zaidi.Mpira wetu unabebwa na wageni, wazawa nidhamu mbovu sana na kamati ikikaa hata ile nyekundu haitoshi ni wa kufungiwa kabisa dogo mpumbavu yule
Hamna kitu kama hiko lile tukio limerudiwa zaidi ya maratano,labda kama umeona wewe peke yako ila ndio hivyo mtu chake.Alishashikwashikwa muda mrefu.
KabisaModerator msiunganishe huu uzi na post nyingine yoyote