Refa wa mechi ya Namungo dhidi ya Simba afungiwe kuchezesha mechi za ligi kuu ya NBC. Ni wazi ametumwa ili kusawazisha tukio la mechi ya Yanga

Bila kung'atang'ata maneno naiomba TFF wamfungie huyu mwamuzi kwa kitendo cha kutoa kadi nyekundu isiyo ya halali dhidi ya mchezaji wa Namungo katika mchezo unaoendelea hapo uwanja wa Majaliwa .

Ni wazi huyu mwamuzi ni pandikizi lililotumwa ili kujustify tukio la upangaji wa matokeo uliofanywa na Yanga wakishirikiana na Singida Black Stars.

Sisi wanasimba hatukubaliani na upumbavu huu. Tunataka kabumbu safi bila ya mipango ya upangaji wa matokeo
Ulitaka aache watu waendelee kutiwa madole
 
Namungo ndio refa aliyetoa kadi nyekundu? Yani unategemea ushindi wa Rose mhando na bado unatamba?
Ukicheza na tawi hata hautumii nguvu kubwa mpaka kuongea na refa, unapanga tu kikosi cha 3 kama walivyofanya Singida juzi.
 
Unakenua sasa hivi we subilia Kuna kilio kinakuja utabweka kama mbwa,,niliwaambia mmechokoza nyuki kwenye mzinga,,atutaki ushauri!
 
Bila kung'atang'ata maneno naiomba TFF wamfungie huyu mwamuzi kwa kitendo cha kutoa kadi nyekundu isiyo ya halali dhidi ya mchezaji wa Namungo katika mchezo unaoendelea hapo uwanja wa Majaliwa .

Ni wazi huyu mwamuzi ni pandikizi lililotumwa ili kujustify tukio la upangaji wa matokeo uliofanywa na Yanga wakishirikiana na Singida Black Stars.

Sisi wanasimba hatukubaliani na upumbavu huu. Tunataka kabumbu safi bila ya mipango ya upangaji wa matokeo
*PENALTY 🐗
*PENALTY 🐗❌
*PENALTY 🐗
*________
*________
 
Kwani DEMU WA AZIZI KEY "JEMEDARI SAID" HAJALISEMEA HILI?.
 
Bila kung'atang'ata maneno naiomba TFF wamfungie huyu mwamuzi kwa kitendo cha kutoa kadi nyekundu isiyo ya halali dhidi ya mchezaji wa Namungo katika mchezo unaoendelea hapo uwanja wa Majaliwa .

Ni wazi huyu mwamuzi ni pandikizi lililotumwa ili kujustify tukio la upangaji wa matokeo uliofanywa na Yanga wakishirikiana na Singida Black Stars.

Sisi wanasimba hatukubaliani na upumbavu huu. Tunataka kabumbu safi bila ya mipango ya upangaji wa matokeo
Ulishiriki kwenye kupanga?
 
Mimi mwenyewe nilidhani hivyo na sikuiafiki hiyo kadi ila kuna upuuzi huyo mchezaji amefanya kwa Ateba.
Mkuu wewe uliangalia vizuri,Aliwakusanya Ateba na mpanzu akawasukuma kama magunia,kuna jambo Ateba akaenda kumwuliza hapo ndio tukio lilianzia.Sasa SIJUI alitukana au vipi
 
Mpira wetu unabebwa na wageni, wazawa nidhamu mbovu sana na kamati ikikaa hata ile nyekundu haitoshi ni wa kufungiwa kabisa dogo mpumbavu yule
 
Mkuu wewe uliangalia vizuri,Aliwakusanya Ateba na mpanzu akawasukuma kama magunia,kuna jambo Ateba akaenda kumwuliza hapo ndio tukio lilianzia.Sasa SIJUI alitukana au vipi
Hapana siyo ishu ya kutukana
 
Chukueni yale mawili bakizeni mojaaaa
Full time..1 kwa sufuri
 
Back
Top Bottom