Afungiwe na waliomtuma?Bila kung'atang'ata maneno naiomba TFF wamfungie huyu mwamuzi kwa kitendo cha kutoa kadi nyekundu isiyo ya halali dhidi ya mchezaji wa Namungo katika mchezo unaoendelea hapo uwanja wa Majaliwa .
Ni wazi huyu mwamuzi ni pandikizi lililotumwa ili kujustify tukio la upangaji wa matokeo uliofanywa na Yanga wakishirikiana na Singida Black Stars.
Sisi wanasimba hatukubaliani na upumbavu huu. Tunataka kabumbu safi bila ya mipango ya upangaji wa matokeo
Wale namungo wahuni kadi ilishaonesha dalili ya kuwepo mapema.Hamna kitu kama hiko lile tukio limerudiwa zaidi ya maratano,labda kama umeona wewe peke yako ila ndio hivyo mtu chake.
Unaleta hisia kwa lile tukio la red card kuna uhuni gani?Wale namungo wahuni kadi ilishaonesha dalili ya kuwepo mapema.
3/0 nyie kila siku yanga na Simba ni kutupigia kelele tu,Ateba na mpanzu walisukumwa.Unaleta hisia kwa lile tukio la red card kuna uhuni gani?
Niletee replay ya hao kusukumwa.3/0 nyie kila siku yanga na Simba ni kutupigia kelele tu,Ateba na mpanzu walisukumwa.
Tafuteni muda mjifunze mpira viongoziBila kung'atang'ata maneno naiomba TFF wamfungie huyu mwamuzi kwa kitendo cha kutoa kadi nyekundu isiyo ya halali dhidi ya mchezaji wa Namungo katika mchezo unaoendelea hapo uwanja wa Majaliwa .
Ni wazi huyu mwamuzi ni pandikizi lililotumwa ili kujustify tukio la upangaji wa matokeo uliofanywa na Yanga wakishirikiana na Singida Black Stars.
Sisi wanasimba hatukubaliani na upumbavu huu. Tunataka kabumbu safi bila ya mipango ya upangaji wa matokeo
Kakopi kwenye mechi azam tv kwani si ilikuwa inarudiwa pale.Mechi ishaisha tena.Niletee replay ya hao kusukumwa.
Kwa hiyo Ateba na Mpanzu baada ya kusukumwa tu, na mwamuzi naye akachomoa kadi nyekundu. 😀3/0 nyie kila siku yanga na Simba ni kutupigia kelele tu,Ateba na mpanzu walisukumwa.
Nionyeshee alipo sukumwa.Kakopi kwenye mechi azam tv kwani si ilikuwa inarudiwa pale.Mechi ishaisha tena.
We unajitoa akili hao watu wawili wanasukumwa kama daladala huoni unajitia upofu.Nionyeshee alipo sukumwa.
View: https://www.instagram.com/reel/DGQtH4jKM7k/?igsh=MXE4aHBqeHpvZHF2cQ==
Wapi na unajitoa ufahamu, ila si shangai hayo ni mahaba kwa timu yako.We unajitoa akili hao watu wawili wanasukumwa kama daladala huoni unajitia upofu.
LindiWapi.
Sasa ulikua unataka nn penye penalt box ynamshika mtu mkonoMimi mwenyewe nilidhani hivyo na sikuiafiki hiyo kadi ila kuna upuuzi huyo mchezaji amefanya kwa Ateba.
Kasimuliwa na shem huku dada ake akivaa t shirt ya yanga kitenge kiunoni kama penalt na red. Card hazikuwa halaliIna uhalali Gani Ile card? Au Mpira unaangalia wewe peke yako?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Simba ishinde tu, mengine watajuana wenyewe vyura.
Nawee wape marefa miamala, kwani umekatazwa?Kabisa refa naona muamala umesoma,mpo vizuri msimu. Mwendo wa miamala kwa marefa JKT,Azam,Dodoma jiji na leo kama kawa Namungo. Kweli mnavuja jasho ili mpate ushindi tunaona hapa.
Utaliaa sana mwaka huu, na badoo.Timu gani hii! Mpaka ipewe penati ya mchongo, au kadi nyekundu kwa mpinzani wake ndiyo inashinda!!