Refa wa mechi ya Namungo dhidi ya Simba afungiwe kuchezesha mechi za ligi kuu ya NBC. Ni wazi ametumwa ili kusawazisha tukio la mechi ya Yanga

Refa wa mechi ya Namungo dhidi ya Simba afungiwe kuchezesha mechi za ligi kuu ya NBC. Ni wazi ametumwa ili kusawazisha tukio la mechi ya Yanga

Jamani naangalia live ya shemeji yangu Aziz K na Hamisa yani hata mambo hayajaanza ukute walikua wanaangalia mechi ya mnyama..wakijoseshe raha bureee
 
Bila kung'atang'ata maneno naiomba TFF wamfungie huyu mwamuzi kwa kitendo cha kutoa kadi nyekundu isiyo ya halali dhidi ya mchezaji wa Namungo katika mchezo unaoendelea hapo uwanja wa Majaliwa .

Ni wazi huyu mwamuzi ni pandikizi lililotumwa ili kujustify tukio la upangaji wa matokeo uliofanywa na Yanga wakishirikiana na Singida Black Stars.

Sisi wanasimba hatukubaliani na upumbavu huu. Tunataka kabumbu safi bila ya mipango ya upangaji wa matokeo
Afungiwe na waliomtuma?
Wewe unadhani Simba/ refa ina ubavu wa kufanya muendelezo wa matukio yanayolalamikiwa kila siku bila kupata baraka?.
 
Bila kung'atang'ata maneno naiomba TFF wamfungie huyu mwamuzi kwa kitendo cha kutoa kadi nyekundu isiyo ya halali dhidi ya mchezaji wa Namungo katika mchezo unaoendelea hapo uwanja wa Majaliwa .

Ni wazi huyu mwamuzi ni pandikizi lililotumwa ili kujustify tukio la upangaji wa matokeo uliofanywa na Yanga wakishirikiana na Singida Black Stars.

Sisi wanasimba hatukubaliani na upumbavu huu. Tunataka kabumbu safi bila ya mipango ya upangaji wa matokeo
Tafuteni muda mjifunze mpira viongozi
 
Tulijadiri Sana kuhusu refa aliyechezesha yanga vs Mamelodi mchezo wa marudiano kule South Africa, wengine tulienda mbali kuhusu hongo kwamba kumbe refa anaweza akalipwa hongo kubwa ambayo hata akifungiwa anaweza akaishi vizuri kwa muda huo aliofungiwa
 
Yule refa alishikishwa milioni 5 akaambiwa akiwezesha 5imba akishinda ataongezewa 10 milioni.
 
Ina uhalali Gani Ile card? Au Mpira unaangalia wewe peke yako?
Kasimuliwa na shem huku dada ake akivaa t shirt ya yanga kitenge kiunoni kama penalt na red. Card hazikuwa halali
 
Kabisa refa naona muamala umesoma,mpo vizuri msimu. Mwendo wa miamala kwa marefa JKT,Azam,Dodoma jiji na leo kama kawa Namungo. Kweli mnavuja jasho ili mpate ushindi tunaona hapa.
Nawee wape marefa miamala, kwani umekatazwa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapoo badooo, ubayaa ubwelaa.
 
Back
Top Bottom