Refa wa mechi ya Namungo dhidi ya Simba afungiwe kuchezesha mechi za ligi kuu ya NBC. Ni wazi ametumwa ili kusawazisha tukio la mechi ya Yanga

Jamani naangalia live ya shemeji yangu Aziz K na Hamisa yani hata mambo hayajaanza ukute walikua wanaangalia mechi ya mnyama..wakijoseshe raha bureee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nawee wape marefa miamala, kwani umekatazwa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapoo badooo, ubayaa ubwelaa.
Mda sijaziona comments zako.

Msihofu mshakuwa marole model tutaanza kutembeza miamala kwa marefa.
 

Sisi wanasimba hatukubaliani na upumbavu huu. Tunataka kabumbu safi bila ya mipango ya upangaji wa matokeo👌🏿💪🏿🔨
 
Mda sijaziona comments zako.

Msihofu mshakuwa marole model tutaanza kutembeza miamala kwa marefa.
Nyie ndo mlianzaa, sisi tunafatia.
Twende ki ubaya ubwelaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…