Refa wa Simba, Yanga ajadiliwa usiku mnene Dar

Hivi unadhani kwa staili ile ya ukabaji kama ya mabeki wa Namungo kujiangusha bila sababu na kumuacha Mayele afunge unategemea Yanga atafungwa na timu gani? Yanga inacheza ndani na nje ya uwanja kuanzia TFF, marefa na wachezaji wa timu pinzani.
 
Mtabweka Sana mwaka huu,nyau nyie
 
Mtabweka Sana mwaka huu,nyau nyie
Tubweke sisi mabingwa mara nne mfululizo! Nyie malimbukeni mliokaa na ukame wa miaka minne ndio mnaolimbuka hivi sasa. Matendo yenu na ulimbukeni wenu ni sawa na hadithi ya mla kunde kutwa anaachia mashuzi tu.
 
Nadhani unajua Nani ana uzoefu na ubingwa nchi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…