Refa wa Yanga afungiwa miezi sita

Refa wa Yanga afungiwa miezi sita

Kwani Yule Refa aliye kataa goli Halali la Geita katika mechi iliyo wakutanisha Simba vs Geita pale Kwa Mkapa na mechi ikaisha Kwa ushindi wa Simba Kwa 2-1 alifungiwa miezi mingapi?[emoji1][emoji1]
Na yule aliyewanyima Simba penati dhidi ya Mtibwa, mbona kaachwa?
 
View attachment 2410263
Florentina Zabron nje miezi 6

Mwamuzi Florentina Zabron ameondoshwa kwenye ratiba za michezo ya Ligi Kuu kwa kipindi cha miezi 6 ijayo kutokana na kuionea Klabu ya Geita Gold ilipocheza na Yanga SC pale CCM Kirumba Mwanza.

My Take
Kumekuwa na tetesi za Utopolo kuwawezesha marefa wanaofungiwa kwa ajili yao. PCCB fanyieni kazi.

=======

Mwamuzi Florentina Zabron amesimamishwa kwenye ratiba ya kuchezesha michezo ya Ligi kuu kwa kipindi cha miezi 6 ijayo na TFF kutokana na kushindwa kumudu mechi kati ya Geita Gold dhidi ya Yanga.

Mechi hiyo ambayo ilipigwa katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza huku Geita wakiwa ni wenyeji wa mchezo huo ambapo Florentina aliionea timu hiyo ya Geita kwa kuwapa penati klabu ya Yanga kwa kutafsiri kuwa mchezaji wa timu pinzani alishika mpira kwa mkono.

Lakini baada ya Bodi kukaa na kujidhihirisha na kuona kuwa mchezaji huyo wa Wachimba madini alikuwa nje ya boksi hivyo haikustahili kuwa penati, na baada ya hapo mwamuzi huyo atakuwa nje miezi sita.

Tukio hilo lilizua taharuki kwa mashabiki na wapenzi wa mpira kwa kuona kuwa Florentina hakuwa sahihi na maamuzi yake na penati hiyo ilipelekea Yanga kupata pointi 3 baada ya kushinda kwa bao 1-0.

Matukio haya yanajirudia sana hapa Tanzania hasa timu ndogo zinapocheza dhidi ya kubwa huwa waamuzi wanakosa umakini kitu ambacho mechi huisha kwa timu ndogo kuonewa kutokana na matokeo hayo

Tanzaniaweb.
Kama bodi ya ligi ingeamua kuwa siriasi kwenye hii ligi tunayoiita ya national bank, sidhani kama Tanzania tungebaki hata na marefa 3 wenye beji ya fifa, madudu ni mengi hasa zinapocheza klabu hizi mbili tunazoziita kongwe Tz.
 
Kuna yule mwamuzi Ahmada Simba! Aisee kila akichezesha mechi ya simba na timu yoyote ile, baada ya hiyo mechi lazima afungiwe kwa kuibeba simba kupitia maamuzi yake ya kutatanisha!
Punguza kuvuta BANGI
 
Vipi kuhusu mechi na Prison mpira uliokuwa umetoka nje ya uwanja na Kibu Denis akaurudisha ndani ya uwanja Mkude akafunga? Au nawenyewe ulitoka kidogo!!
Bora hii kuliko ile goli limeingia wavuni kisha mwamuzi anasema kona!

Matukio ya mpira kutoka kisha kuendelea kuchezwa hata utopolo ni mengi sana sema hayakuzaa goli
 
Afu sijui kwanini ligi kuu wana tabia ya kuwapatia wanawake mechi wachezeshe. Wanawake kazi yao ni kuzaa na kumpikia mwanaume.
Tunalazimisha kufika walipo wazungu huku tukiacha mambo ya msingi.
 
Kwani Yule Refa aliye kataa goli Halali la Geita katika mechi iliyo wakutanisha Simba vs Geita pale Kwa Mkapa na mechi ikaisha Kwa ushindi wa Simba Kwa 2-1 alifungiwa miezi mingapi?[emoji1][emoji1]
huwezi jibiwa hili watapita kimya kimya
 
View attachment 2410263
Florentina Zabron nje miezi 6

Mwamuzi Florentina Zabron ameondoshwa kwenye ratiba za michezo ya Ligi Kuu kwa kipindi cha miezi 6 ijayo kutokana na kuionea Klabu ya Geita Gold ilipocheza na Yanga SC pale CCM Kirumba Mwanza.

My Take
Kumekuwa na tetesi za Utopolo kuwawezesha marefa wanaofungiwa kwa ajili yao. PCCB fanyieni kazi.

=======

Mwamuzi Florentina Zabron amesimamishwa kwenye ratiba ya kuchezesha michezo ya Ligi kuu kwa kipindi cha miezi 6 ijayo na TFF kutokana na kushindwa kumudu mechi kati ya Geita Gold dhidi ya Yanga.

Mechi hiyo ambayo ilipigwa katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza huku Geita wakiwa ni wenyeji wa mchezo huo ambapo Florentina aliionea timu hiyo ya Geita kwa kuwapa penati klabu ya Yanga kwa kutafsiri kuwa mchezaji wa timu pinzani alishika mpira kwa mkono.

Lakini baada ya Bodi kukaa na kujidhihirisha na kuona kuwa mchezaji huyo wa Wachimba madini alikuwa nje ya boksi hivyo haikustahili kuwa penati, na baada ya hapo mwamuzi huyo atakuwa nje miezi sita.

Tukio hilo lilizua taharuki kwa mashabiki na wapenzi wa mpira kwa kuona kuwa Florentina hakuwa sahihi na maamuzi yake na penati hiyo ilipelekea Yanga kupata pointi 3 baada ya kushinda kwa bao 1-0.

Matukio haya yanajirudia sana hapa Tanzania hasa timu ndogo zinapocheza dhidi ya kubwa huwa waamuzi wanakosa umakini kitu ambacho mechi huisha kwa timu ndogo kuonewa kutokana na matokeo hayo

Tanzaniaweb.
Mwandiko ndio watoka period
 
Vipi kuhusu mechi na Prison mpira uliokuwa umetoka nje ya uwanja na Kibu Denis akaurudisha ndani ya uwanja Mkude akafunga? Au nawenyewe ulitoka kidogo!!
vp na yule aliekubali krosi ya joyce monalisa vs Azam na mpira ulikuwa umetoka
 
Back
Top Bottom