ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Tatu Malogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kayoko mtembeza kadi kila saaa,,apewe ukamisaa tu anatoshaArajiga hapana yule mbwa hafai kabisa Achezeshe Kayoko
Hii mechi ilifaa sana achezeshe mtaalamu wa mbio Kiloi Allen Kilewella1. Ramadhan Kayoko
2.Herry Sassi
3.Arajiga.
Kwenye hao watatu ningependa Arajiga awe mwamuzi wa kati.
Tatu Malogo1. Ramadhan Kayoko
2.Herry Sassi
3.Arajiga.
Kwenye hao watatu ningependa Arajiga awe mwamuzi wa kati.
Arajiga ni "Saidia Yanga ishinde".Aragija kipenzi Cha yanga Kila mechi lazima awape penati
Mechi ya tarehe 8 ya ngao ya jamii ambayo Yanga imeshinda alichezesha Sasi na Simba ikapoteza mechiArajiga ni "Saidia Yanga ishinde".
Kupoteza mechi siyo tatizo.Mechi ya tarehe 8 ya ngao ya jamii ambayo Yanga imeshinda alichezesha Sasi na Simba ikapoteza mechi
Ni mechi gani ya dabi Arajiga alikosea? Na alikosea kwa namna gani? Tuanzie hapoKupoteza mechi siyo tatizo.
Simba imepoteza mechi nyingi dhidi ya Yanga hata kabla Ahmed Arajiga hajazaliwa.
Swali je umepotezaje hiyo mechi?
Mpira wa miguu ni mchezo wa wazi, kila mmoja anaona kinachoendelea uwanjani.
Watu watakubali matokeo ili kuheshimu kanuni za mchezo wa soka, lakini uwezo wako utakosolewa.
Mbumbumbu wakikujibu nitag!Ni mechi gani ya dabi Arajiga alikosea? Na alikosea kwa namna gani? Tuanzie hapo
Hapo nawaona wanaccm wawili huku mwanachadema mmoja, wote hawafai.1. Ramadhan Kayoko
2.Herry Sassi
3.Arajiga.
Kwenye hao watatu ningependa Arajiga awe mwamuzi wa kati.
Ukiwa na timu mbovu utalaumu kila mtuArajiga ni "Saidia Yanga ishinde".
Wote wanaomtaka Arajiga, ni mashabiki wa Yanga. Kumbu kumbu za karibuni, zinaonyesha kuwa, karibia michezo yote aliyochezesha, Simba imefungwa!Arajiga ni "Saidia Yanga ishinde".
Hilo ni tatizo la marefa wengi hapa Bongo, sasa sijui wanataka watu wakabanejeKuna yule dada wa kihaya ( somebody rukyaa) huwa namkubali sana maana faulo za kijinga jinga huwa anazipotezea anaacha mpira uchezwe yaani km ligi ya uingereza.
Hawa wengine kila dakika pyeee pyee faulo nyingine ni laini mno za kupotezea lakini wao wanaita huwa inanikera
Ukiwa na timu bora hata achezeshe refa yupi unaweza kushinda kama itazingatiwa sheria 17 za soka. Si juzi tu kachezesha refa mwingine na mmefungwa pia.Wote wanaomtaka Arajiga, ni mashabiki wa Yanga. Kumbu kumbu za karibuni, zinaonyesha kuwa, karibia michezo yote aliyochezesha, Simba imefungwa!
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
bila Jonesia na Tatu Malogo, derby hainogi. Watanzania tufanye kazi, mechi ipo weekend watu mshaianzishia nyuzi1. Ramadhan Kayoko
2.Herry Sassi
3.Arajiga.
Kwenye hao watatu ningependa Arajiga awe mwamuzi wa kati.