Refa yupi anafaa zaidi achezeshe mechi ya Derby ya Kariakoo ya tarehe 19 Oktaba 2024?

Refa yupi anafaa zaidi achezeshe mechi ya Derby ya Kariakoo ya tarehe 19 Oktaba 2024?

Mechi ya tarehe 8 ya ngao ya jamii ambayo Yanga imeshinda alichezesha Sasi na Simba ikapoteza mechi
Kupoteza mechi siyo tatizo.
Simba imepoteza mechi nyingi dhidi ya Yanga hata kabla Ahmed Arajiga hajazaliwa.
Swali je umepotezaje hiyo mechi?
Mpira wa miguu ni mchezo wa wazi, kila mmoja anaona kinachoendelea uwanjani.
Watu watakubali matokeo ili kuheshimu kanuni za mchezo wa soka, lakini uwezo wako utakosolewa.
 
Ni mechi gani ya dabi Arajiga alikosea? Na alikosea kwa namna gani? Tuanzie hapo
 
Ni mechi gani ya dabi Arajiga alikosea? Na alikosea kwa namna gani? Tuanzie hapo
Mbumbumbu wakikujibu nitag!

Ili kushinda derby Yanga inatakiwa kuweka mfukoni wachezaji watatu wa simba, hawa hawapaswi kucheza kabisa kwenye derby, wanatakiwa kupanikishwa washindwe kucheza wapuyange tu uwanjani
1. Debora (play maker) , 2. Kapombe (mkamiaji) na 3. Kibu (mkamiaji)
 
Kuna yule dada wa kihaya ( somebody rukyaa) huwa namkubali sana maana faulo za kijinga jinga huwa anazipotezea anaacha mpira uchezwe yaani km ligi ya uingereza.

Hawa wengine kila dakika pyeee pyee faulo nyingine ni laini mno za kupotezea lakini wao wanaita huwa inanikera
Hilo ni tatizo la marefa wengi hapa Bongo, sasa sijui wanataka watu wakabaneje

Mpira wa miguu ni wa kugusana ila kila mtu akiguswa ni kipyenga, wanaboa
 
Wote wanaomtaka Arajiga, ni mashabiki wa Yanga. Kumbu kumbu za karibuni, zinaonyesha kuwa, karibia michezo yote aliyochezesha, Simba imefungwa!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Ukiwa na timu bora hata achezeshe refa yupi unaweza kushinda kama itazingatiwa sheria 17 za soka. Si juzi tu kachezesha refa mwingine na mmefungwa pia.
 
1. Ramadhan Kayoko
2.Herry Sassi
3.Arajiga.

Kwenye hao watatu ningependa Arajiga awe mwamuzi wa kati.
bila Jonesia na Tatu Malogo, derby hainogi. Watanzania tufanye kazi, mechi ipo weekend watu mshaianzishia nyuzi
 
Back
Top Bottom