Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kujijengea mazingira? Kujipendekeza kwa watu?Ila kwa soko la ajira lilivyo gumu wengi nafasi za referees hawana hivyo inashauriwa kujijengea mazingira tu ya mtu ataekuwa tayari kutoa comment nzuri kwako.
Watu wanaokujua wewe kwenye hicho kitu unachokiombea kazi
Kwa mfano unaombea fani ya ulinzi
Referee watukua watu waliokufundisha ulinzi
2 manager wa sehemu ulizowah kupga kazi
3 sio mbaya ukaweka namba ya jambazi mmja uliewah kumshushia kipigo kama references
Nmewaelewa sana ndugu zanguInategemea na level yako ya experience.
A. Referees wa fresh from school inashauriwa aweke:
1. Mmoja kutoka uliposoma
2. Mmoja kutoka ulipofanya field
3. Mmoja kutoka katika nafasi za kijamii ama kiserekali anaekufahamu vizuri.
B. Referees wa muombaji kazi mzoefu inashauriwa aweke:
1. Mmoja kutoka kazi yako ya mwisho
2. Mmoja kutoka kazi ya kabla yake ama field
3. Mmoja kutoka ulipofanya field ama nafasi ya kijamii anaekufahamu vizuri.
Ila kwa soko la ajira lilivyo gumu wengi nafasi za referees hawana hivyo inashauriwa kujijengea mazingira tu ya mtu ataekuwa tayari kutoa comment nzuri kwako.
Cha kushangaza 90% ya kazi nilizowahi ajiriwa nazo referees wangu hawakuwahi kupigiwa simu so sijui kama wengi wa referees hupigiwa ama la ila ukiwa unajuana na watu wakubwa wakubwa na ukawaweka kwa CV inakujengea mazingira ya kupata nafasi kwa haraka.
Mchango wangu huo wengine wataongezea.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kama ajira zinazingua jitoe ufahamu tu jaza marefa wenye ngazi za juuTafadhali naomba mnieleweshe kuhusu hao watu wanatakiwa wawe vipi.
mfano ni ndugu, wafanyakazi mashirika binafsi, serikalini au wanatakiwa wapoje.?
C watashangaa huyo ndugu vp ameshindwaje kuchomekwa juu kwa juu ad aje kuomba kaziKama ajira zinazingua jitoe ufahamu tu jaza marefa wenye ngazi za juu
1.Unaandika hata jina la Rais mstafu
2. Makamu wa Rais
3. Waziri Mkuu.
CV yako wakiiona tu unaitwa kazini.
Mambo ya kuchomekwa tena mbona lugha ngumu kumeza.... [emoji38]C watashangaa huyo ndugu vp ameshindwaje kuchomekwa juu kwa juu ad aje kuomba kazi
😂😂😂 Umewaza mbal sana mkuuMambo ya kuchomekwa tena mbona lugha ngumu kumeza.... [emoji38]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Uambatanishe na picha ya kaburi LA huyo jambazi kama ulienda mbali zaidi kwenye kupambana nayeInabidi jambazi akusifie kdg ili upate kazi
[emoji38][emoji38][emoji38] kumbe hujamaanisha kuchomekwa[emoji23][emoji23][emoji23] Umewaza mbal sana mkuu
Nimemaanisha connection.[emoji38][emoji38][emoji38] kumbe hujamaanisha kuchomekwa
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hii idea ya kibabe sana yani [emoji23][emoji23][emoji23]Kama ajira zinazingua jitoe ufahamu tu jaza marefa wenye ngazi za juu
1.Unaandika hata jina la Rais mstafu
2. Makamu wa Rais
3. Waziri Mkuu.
CV yako wakiiona tu unaitwa kazini.