Referrers wanaohitajika wakati wa maombi ya kazi hasa serikalini ni akina nani?

Kama ajira zinazingua jitoe ufahamu tu jaza marefa wenye ngazi za juu
1.Unaandika hata jina la Rais mstafu
2. Makamu wa Rais
3. Waziri Mkuu.
CV yako wakiiona tu unaitwa kazini.
Mkuu, mi nmemuweka Humphrey Polepole ila bado sijapata.
 
Umemaliza.. Ubarikiwe sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…