Refinery ya Dangote ni ushindi mkubwa kwa Waafrika

Umesema kwamba ni 20billion of Dollar hiyo pesa unanunua man City 5 ndo kuna wajinga humfananisha dangoke na mansoul, kisa et mmoja ni mwarabu na mwingine ni mweus kwahiyo wao huona ukiwa mweus automatic unakuwa umezidiwa na mweupe bila kupenda
Hiyo sasa unamaanisha kuwa 20billion Dollar ni cash au? Lakini mbona tunatoka kwenye mambo ya mafuta tunakwenda kwenye Umeme...itlnakuaje sasa uzalishaji wa mafuta mengi hivyo; uchafuzi wa mazingira tu.
 
Teheeee uchafuzi wa mazingira ni kutupa makopo ya juis barabaran ukiwa kw bas over.
 
Hapo serikali ya Nigeria ilitakiwa kumlinda kwa kutunga sheria ili hao wachimbaji wa mafuta wamuuzie dangote kwa kadiri anavyohitaji halafu yanayobaki yapelekwe huko nje. Wazungu hawataki kabisa waafrika tuneemeka na rasilimali zetu.
 
Bahati Mbaya rais ndiye pia waziri wa mafuta. Amekuwa tajiri wa kutupwa sababu ya dili za mafuta.
 
Hapo serikali ya Nigeria ilitakiwa kumlinda kwa kutunga sheria ili hao wachimbaji wa mafuta wamuuzie dangote kwa kadiri anavyohitaji halafu yanayobaki yapelekwe huko nje. Wazungu hawataki kabisa waafrika tuneemeka na rasilimali zetu.
Viongozi wa serikali pamoja na kizee Tinubu kinamwekea zengwe

Huu mradi hadi kukamilika kapitia meng sana yule mzee.. Fikiria hadi bandar za ndani zilimwekea zengwe kutopitisha mizingo yake kwa ajali ya ujenz wa hicho kiwanda akajenga bandari yake kwaajili ya kupitisha mizingo yake..

Africa ni ya kipumbafu sana
 
Back
Top Bottom