Reflection: Mahusiano, Mapenzi na Urafiki - Tunaelekea wapi?

FAB ACHA UNAFIKI NDUGU YANGU!we kama ni infideletee UTABAKI KUWA HIVYO HIVYO......!usilete mambo ya ajabu

BTK:acha MTIMA NYONGO MSHKAJI....!kwanin ulinidiliti kwenye contacts list yako ya yahoo?....mimi bado nakukubali na sina kinyongo nawe...yale matatizo yalitokea kutokana na COMMUNICATION ERROR,lait ningejua mimi nisingeomba ile namba!rudi tu na id yako ya zamani.kwanin tufanyiane hivo mpwaaz?

taratibu kijana hilo jina kamwambie mkeo.
umechoka sasa kufukunyua maposti yangu???nani alikudanganya utaninyamazisha kwa njia hiyo?
 
Babu vp hapo unaweza kukagua?:bump:
Babu amepewa kazi ya kukagua lakini sehemu nyingine babu anapaswa kuchukua tahadhari....soma katikati ya mistari hapo hommie.
 
taratibu kijana hilo jina kamwambie mkeo.
umechoka sasa kufukunyua maposti yangu???nani alikudanganya utaninyamazisha kwa njia hiyo?
Bado upo? Nlihisi umesha sign out. Sasa...dah...ngoja niishie hapa kwa leo.
 
BTK:acha MTIMA NYONGO MSHKAJI....!kwanin ulinidiliti kwenye contacts list yako ya yahoo?....mimi bado nakukubali na sina kinyongo nawe...yale matatizo yalitokea kutokana na COMMUNICATION ERROR,lait ningejua mimi nisingeomba ile namba!rudi tu na id yako ya zamani.kwanin tufanyiane hivo mpwaaz?

Kaka hapo umechanganya madesa. Mimi si huyo bi.dada unayemdhania. Kwanza sina yahoo...
 
Mnakoelekea sasa mm ngoja nisepe mtu atakula kibano
 
mlete mkeo hapa uniweke na mie watu judge nani yupo below standard....???unajiona matawi eeeh???
Sasa dada Fab...hii ni battle kati yako na Teamo. Kwanini unawaingiza wengine wasiohusika kabisa? Humtendei haki mwanamke mwenzio. We pambana ulingoni na Teamo, siyo mke wake. Vinginevyo watu watakuona kama unatafuta ngao ya kuazima.

Haya endelea mama.
 
Hivi kuna nini hapa?...

Ngoja nikaandae misa ya jioni, nitarudi kesho
 
mlete mkeo hapa uniweke na mie watu judge nani yupo below standard....???unajiona matawi eeeh???
Aseee mmeanza kuwahusisha na wasio kuwemo? Not good at all!
 
sorry.msinitafutie ban buree...:embarrassed:
 
atakuwa halipi.jinsi mlivyokimbilia kumdefend.....haloooooooooooooooooooooo!
wacha na yeye limuume
mipasho kuanza kaanza yeye!
Acid kaweka hii mada kistaarabu sana...ila alivyojibiwa na huyo Teamo kimipasho mipasho...sidhani kama mtu mstaarabu atapenda...
wacha na sie tumjibu kimipasho mipasho alivyozoea...
 
You see, hiyo ndo busara sasa. Ilipaswa uitumie mapema kabisa. Hata hivyo nakupongeza kwa kufikia uamuzi huu. Ubarikiwe da Fab.
 
Hiyo ni dalili ya kushindwa, kuna ile methali ya darasa la nne B inasema mfa maji......?
hapa babu itabidi ulazimishe kukagua hata kama ni ngumu bana!!:redfaces::redfaces:
 
atakuwa halipi.jinsi mlivyokimbilia kumdefend.....haloooooooooooooooooooooo!
wacha na yeye limuume
mipasho kuanza kaanza yeye!
Acid kaweka hii mada kistaarabu sana...ila alivyojibiwa na huyo Teamo kimipasho mipasho...sidhani kama mtu mstaarabu atapenda...
wacha na sie tumjibu kimipasho mipasho alivyozoea...

Kulipa ni relative term mama. Ila nakushauri, kama umeamua kupambana na Teamo, pambana naye yeye na wala si mama, baba, mke, mtoto wala mjombake. Dhambi hii haiwahusu hata kidogo. Ni busara ya kawaida kabisa hii.
 
atakuwa halipi.jinsi mlivyokimbilia kumdefend.....haloooooooooooooooooooooo!
wacha na yeye limuume
mipasho kuanza kaanza yeye!
Acid kaweka hii mada kistaarabu sana...ila alivyojibiwa na huyo Teamo kimipasho mipasho...sidhani kama mtu mstaarabu atapenda...
wacha na sie tumjibu kimipasho mipasho alivyozoea...

Ni mipasho hiyohiyo ndo inayopoteza ladha la jukwaa, na sio kusema kuhusu infii huku hufanyi, au kukaa kimya huku we ndo mwenyewe
 
atakuwa halipi.jinsi mlivyokimbilia kumdefend.....haloooooooooooooooooooooo!
wacha na yeye limuume
mipasho kuanza kaanza yeye!
Acid kaweka hii mada kistaarabu sana...ila alivyojibiwa na huyo Teamo kimipasho mipasho...sidhani kama mtu mstaarabu atapenda...
wacha na sie tumjibu kimipasho mipasho alivyozoea...
Kwa hiyo umemsaidia Acid kujibu?
 
Back
Top Bottom