Reforms za Chadema zinatishia maslahi yao na uhai wao kisiasa, Kwa kuwa wanajua tume ikifanyiwa mabadiliko na ukaja uchaguzi huru na hakika ndo mwisho wao na hawako tayari ndo maana wanaleta figisu figisu nyingi
KANU pia walikuwa wakisema hivyo na UNIP...CCM ina mtaji mkubwa wa fedha na wanachama hivyo kitaendelea ku-dominate siasa za Tanzania kwa muda mrefu. Siamini kama wataporomoka kwasababu ya Reforms katika mifumo yetu ya uchaguzi.
KANU pia walikuwa wakisema hivyo na UNIP.
CCM hawawezi kukubali maana wanajua CCM igaanguka chap..hili ni swali ambalo najiuliza.
..Kama 4R ni falsafa ya Raisi, kwanini chama chake kinapinga Reforms zinazopendekezwa na wapinzani?
..badala ya kuchangamsha bongo zao namna ya kuyachukua mapendekezo ya Chadema, nguvu kubwa zaidi imeelekezwa katika kuwabeza, kuwatukana, kuwatisha, na kuwakatisha tamaa.
..Shinda iko wapi katika Reforms wanazopendekeza Chadema?
Siku tukipiga kura kwa machine CCM itakuwa mwisho waoKANU pia walikuwa wakisema hivyo na UNIP.
Chiluba na Kaunda?..siasa za Kenya ni tofauti sana na Tanzania.
..Kenya unacheza na namba za kura za makabila makubwa mchezo unakuwa umekwisha.
..siasa za Tanzania zinahitaji upate kura kila mahali, ukabila hauna nguvu.
Ccm wanafahamu fika bila kura bandia watapata taabu sana.....Shinda iko wapi katika Reforms wanazopendekeza Chadema?
Chiluba na Kaunda?
Nje ya madaraka , CCM itayumba , ndo maana hawako tayari kuachia, wanajua wakiachia madaraka ndo mwisho wa era yao..CCM ina mtaji mkubwa wa fedha na wanachama hivyo kitaendelea ku-dominate siasa za Tanzania kwa muda mrefu. Siamini kama wataporomoka kwasababu ya Reforms katika mifumo yetu ya uchaguzi.