Refund ya Ada chuo cha Mipango Dodoma, Mamlaka husika ziingilie kati

Refund ya Ada chuo cha Mipango Dodoma, Mamlaka husika ziingilie kati

Last Seen

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
229
Reaction score
566
Habari za Saizi wana jukwaa.
Nimeleta mada hapa jukwaani nikiamini mamlaka husika wataona na kulishughulikia haraka.

Ni zaidi za miezi kadhaa imepita dogo alinigusia habari kuwa alikuwa amelipa ada na amemaliza ada yote lakini baadae alikuja kujua kuwa bodi pia walimlipia kiasi cha ada, na hakuwa peke yake ni zaidi ya wanafunzi 300+ walilipiwa ada wakiwa washamaliza ada.

Jitihada za kupata hizo pesa zao imekuwa changamoto na kila siku wanapigwa kalenda. Waliahidiwa kabla ya tarehe 10/9/2023 lakini hawajapatiwa.

Mamlaka husika iingilie kati pesa za vijana zipatikane kwa wakati.
 
Back
Top Bottom