Regina Daniels(18), Living her best life with her 59 Billionare husband .

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Staa kutoka kiwanda cha Nollywood , Regina Daniels , Ameshangaza ulimwengu kwa kitendo chake cha kuolewa na Mzee wa miaka 59 , huku yeye akiwa na miaka 18 tu ambayo alitimiza Mwaka jana october. Mrembo huyo mwenye Mvuto wa aina yake, ameolewa akiwa mke wa sita wa Billionare huyo Mr Nokwo.

Unaambiwa Regina anamiliki Mansion za kutosha huko nchini Nigeria kwenye jiji la Abuja, maeneo ya Lekki phase 1, mitaa wanaokaa mabillionea wa kutupwa.

Regina amekua akila bata sehemu mbali mbali duniani na kuishi maisha ya kifahari pengine kuliko staa yeyote Nigeria kwa sasa

Either wanazengo wamekua wakimnanga staa huyo wa film kwa kumwambia kuwa amekosa aibu kuolewa na mtu mwenye rika la babu yake.
 
Mwanamke anaiva miaka 14 maximum sasa ana udogo gani? 18 ni system tu ya kuzuga zuga watu wapate elimu ila dushe linapenya na anaongeza idadi ya watu dunian vzur. Kaka acha wivu .. ungekuwa wew ungemchomolea huyo mzee kwa lifestyle hiyo?
 
Mbwembwe zte lkn utakuta kunako 6×6 .....713 inalimwa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…