Jiwe la Ma
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 574
- 486
Ok,Mi sio kaka nikome
Basi punguza wivu dada....,mwanamke hana rika na wewe rafuta ustaa na uzidishe urembo utaopolewa tuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok,Mi sio kaka nikome
Ila ameweka image ya mwanaume kwenye profile,Hujawah weka wazi gender yako ...
Huwa unazua sana maswal mkuu wangu warumi ...
Hawa walianza since cave-men time[emoji3][emoji3] walikuwa wanawakimbilia wenye mapango mazuri[emoji23][emoji23] usimlaum ndio nature yao, Tafuta pesa broKatika kitu kinanikwazaga kwa wanawake hi hichi ninacho kiona hapa.
Kwann nyie viumbe mmekuwa wakuangalia sana hela.
Hivi duniani kusingekuwa na hela?
Mngefuata nn kwa mwanaume?
Ndio mana malipo ya mabaya huwa hapahapa duniani.
What goes around?
BR
Uduzungwa
Dada warumi mbona Jackline aliolewa na Reginald Mengi wakati huo Mzee wetu akiwa na zaidi ya 65? ajabu ipo wapi acheni ale bata mtoto wa watuDada warumi namshauri ata akipata mwingine pia aolewe, life is too short
Hakuna cha kushangaa, hakuna mwanamke anaweza kukataa kupewa mali zote hizo(especially wanawake born in the 90s kwenda juu)Staa kutoka kiwanda cha Nollywood , Regina Daniels , Ameshangaza ulimwengu kwa kitendo chake cha kuolewa na Mzee wa miaka 59 , huku yeye akiwa na miaka 18 tu ambayo alitimiza Mwaka jana october. Mrembo huyo mwenye Mvuto wa aina yake, ameolewa akiwa mke wa sita wa Billionare huyo Mr Nokwo.
Unaambiwa Regina anamiliki Mansion za kutosha huko nchini Nigeria kwenye jiji la Abuja, maeneo ya Lekki phase 1, mitaa wanaokaa mabillionea wa kutupwa.
Regina amekua akila bata sehemu mbali mbali duniani na kuishi maisha ya kifahari pengine kuliko staa yeyote Nigeria kwa sasa
Either wanazengo wamekua wakimnanga staa huyo wa film kwa kumwambia kuwa amekosa aibu kuolewa na mtu mwenye rika la babu yake.View attachment 1108216View attachment 1108217View attachment 1108218View attachment 1108219View attachment 1108220
Mtoto anavutia.
Daaah ! Mamaeee, huyu Mtoto mbona kajipeleka kwa Mbabane, mabaharia tunakosea wapi
Niliona ana tambulishwa wake wenzie dah
mbona wa kawaida tu, ni haya ma-make-up ndiyo yanayomfanya prettyDaaah ! Mamaeee, huyu Mtoto mbona kajipeleka kwa Mbabane, mabaharia tunakosea wapi