Matajiri wana angaliaga nyota. Inawezekana mtoto atakuwa na nyota kali sana ndo maana jamaa kamchukuaView attachment 1109236
View attachment 1109240
mbona wa kawaida tu, ni haya ma-make-up ndiyo yanayomfanya pretty
huku tuna kina Lulu, wema na wengineo km Jack Mengi enzi zake
View attachment 1109241
na alishakuwa na mcheza picha mwenzake wakitoka mpaka wakamuhisi amejaa lakin kibopa akaoa na kuweka ndani
Acha tu mkuuUmeandika kwa hisia sana.
Ila kweli...utasenahe una hekima na huku umezingirwa na umasikini[emoji848]Anaitwa Regina Daniels alias Regina the Sixth.
Amepewa a.k.a ya Regina the Sixth mara baada ya kuolewa kama mke wa sita na Ned Nwoko ambae ni Mwanasiasa, Mwanasheria na Mfanyabiashara Bilionea nchini Nigeria.
Regina Daniels ambae ni muigizaji katika kiwanda cha movie cha Nollywood huko nchini Nigeria ,amezaliwa tarehe 10 October mwaka 2000 na Ned Nwoko amezaliwa mwaka 1960.
Hii ina maana kuwa Ned Nwoko anamzidi Regina Daniels kwa miaka arobaini.
On the prima facie u can tell that familia ya Regina the Sixth imekubali binti yao mwenye umri wa miaka kumi na nane aolewe kama mke wa sita na mwanaume anaemzidi kwa umri wa miaka arobaini kwa sababu ya umasikini.
Ni umasikini na ufukara wa familia ya Regina the 6th ndio ume wa push kufanya maamuzi kama hayo.
Ned Nwoko asingekuwa Bilionea familia ya Regina isingeweza kumtoa binti yao.
Umasikini ni kitu kibaya sana. Umasikini ni laana.
Jamani tuzitafute pesa. Tusikubali kuwa masikini.
Umasikini ni ukafiri.
Umasikini ni uovu.
Umasikini ni ukosefu na upungufu wa akili kwa sababu pesa na mali zinatafutwa kwa kutumia akili ndio maana mfalme Suleimani alisema " Hekima ya masikini haisikilizwi" kwa sababu huwezi kusema una hekima kama wewe ni maskini. Umasikini na hekima haviwezi ku co exist
Tulikemee pepo ovu la umasikini
Yeah sure coz hekima yako inatakiwa kwanza ikutoe kwenye laana ya umasikiniIla kweli...utasenahe una hekima na huku umezingirwa na umasikini[emoji848]
Kabisa...maana umasikini unahusishwa na upungufu wa maarifa/akili/hekimaYeah sure coz hekima yako inatakiwa kwanza ikutoe kwenye laana ya umasikini
huyo ndo kazaliwa ef mbili
.Dada warumi njoo pmMi sio kaka nikome
Mimi ni kibabu chenye hela njoo pm ubadili maisha yako.Nitaftie 60 mzee baba
Nakuja baby, ukiwa na hela huitwi babu kabisaMimi
Mimi ni kibabu chenye hela njoo pm ubadili maisha yako.
Yeah amezaliwa mwaka 2000 . Anaonekana kama wa 94?huyo ndo kazaliwa ef mbili
Hahaha
Karibu baiby ila mambo yetu yaleeee niko fit kama kijana wa miaka 25. Hamna hala ya bure lazima jasho litakutoka hasaNakuja baby, ukiwa na hela huitwi babu kabisa
View attachment 1109236
View attachment 1109240
mbona wa kawaida tu, ni haya ma-make-up ndiyo yanayomfanya pretty
huku tuna kina Lulu, wema na wengineo km Jack Mengi enzi zake
View attachment 1109241
na alishakuwa na mcheza picha mwenzake wakitoka mpaka wakamuhisi amejaa lakin kibopa akaoa na kuweka ndani