Regina Daniels azawadiwa saa ya million 140 na mume wake....

hii ni mental disorder..wahi hospitali haraka..
 
Wengine wako busy kujipendeza kwenye familia za watu , wengine wananunuliwa saa za mamillion ya pesa , life is not fair
Mobetto alikunyang'anya mune?[emoji2][emoji2][emoji2]
Lakini papuch inaweza kukufanya tajiri Isee

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
duh hiyo saa kiboko sasa kuna watu wana pesa balaaa asee acha wazitumie na tusiwapangie matumizi
 
Ebu acha kujishongondoa na wewe.
Rich ya nyoko ..
Wewe ni kama sisi tu waambie hao ambao hawakujui hahah
 
Umeguswa tako umenuna.
Hayo ya Leipzig hakuna aliokuuliza wewe mama/baba.
Unataka hapa wote tukusapoti
Watu wa tandale bwana
Leipzig ya nyoko
 
I have slept with plenty of them , wengine ni waheshimiwa wako , go and dig for your own risk , nakupa assignment
Kumbe na wewe muuza K tu kama hao slay queens wa Instagram unaowaponda
 
😬...hyo million 140 ni kwacha shillings au Uganda shillings...!!???
 
Kale kadada kanaenjoy life na yule babu hadi raha
 
Raha ya warumi ukiji wa moto atakuzima
Ukija wa baridi utapenda atakavyokujibu kama sio yeye vile
Ngoja niendelee kusoma comment , naona humu ndani leo watu wamevurugwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…