Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Post zako na comment's zako huwa zinanisababisha nicheke sana hasa mtu anapoku- attack na wewe kumpa makavu hahahaaaaaa
Kuna mafundisho ktk maelezo yako pia
Big up
Kila thread yake huwa natamani kutokee mtu wa kumpanikisha ili ashushe rabsha.
Naona leo Daudi Mchambuzi kampatia.