Regina Daniels azawadiwa saa ya million 140 na mume wake....

Regina Daniels azawadiwa saa ya million 140 na mume wake....

Niko na pesa Ndio maana nashangaa hawa chawa kujidhalilisha kwa pesa ambazo they can make themselves kama wakiacha kutegemea uchi zao

Zari is being respected coz ako na pesa , ako na maisha yake, she cant cheapening herself kwa ajili ya njaa , nyie Makahaba wa bongo somen , hata hao madanga wa maana hawawez kuchukua wanawake ambao hawajielewi, Class attracts class , otherwise mtaishiwa kuchezewa wenzenu wanaolewa

Again just a reminder , I have got money ,! None of these cheap bitches can compete with me , not even in a dream , maskin mbwa nyie mxiiew , wapumbavu kabisa , wajinga wa mwisho , Kwan ni mimi nimewatuma mzaliwe na shida mbwa nyie
hii ni mental disorder..wahi hospitali haraka..
 
Wengine wako busy kujipendeza kwenye familia za watu , wengine wananunuliwa saa za mamillion ya pesa , life is not fair
Mobetto alikunyang'anya mune?[emoji2][emoji2][emoji2]
Lakini papuch inaweza kukufanya tajiri Isee

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
duh hiyo saa kiboko sasa kuna watu wana pesa balaaa asee acha wazitumie na tusiwapangie matumizi
 
I have never experienced life hardship in my life except changamoto nyingine tu za maisha , ila Mimi kusema Nina shida sana na pesa ? No , Niko na pesa zangu , I can take care of you and your family for the entire one fucking year , I’m that rich
Ebu acha kujishongondoa na wewe.
Rich ya nyoko ..
Wewe ni kama sisi tu waambie hao ambao hawakujui hahah
 
Huyo kahaba wenu ntamlipia flight aje huku Leipzig, akae hat mwez aone wanaume wenye pesa aache kushobokea utopolo huo, Tatizo wabongo hamsafiri mko na ulimbuken mno , sasa akija huku so atang’ang’ania wanaume kama wote na kutegesha mimba mji mzima

Nawaangaliaga tu mnavyochanganyikiwa na cheap fake life ya mastaa wa bongo , wabongo washamba sana , kama hamisa ndo mnamuona tajir mmerogwa vibaya mxieew
Umeguswa tako umenuna.
Hayo ya Leipzig hakuna aliokuuliza wewe mama/baba.
Unataka hapa wote tukusapoti
Watu wa tandale bwana
Leipzig ya nyoko
 
I have slept with plenty of them , wengine ni waheshimiwa wako , go and dig for your own risk , nakupa assignment
Kumbe na wewe muuza K tu kama hao slay queens wa Instagram unaowaponda
 
😬...hyo million 140 ni kwacha shillings au Uganda shillings...!!???
 
Kale kadada kanaenjoy life na yule babu hadi raha
 
Raha ya warumi ukiji wa moto atakuzima
Ukija wa baridi utapenda atakavyokujibu kama sio yeye vile
Ngoja niendelee kusoma comment , naona humu ndani leo watu wamevurugwa
 
Back
Top Bottom