Regina Mwalekwa au Regina Mziwanda?

Mwanamke ana option ya kutumia ama majina ya baba yake , au akiwa ameolewa automatically bila kuapa na kujaza deed poll anajichukulia jina la mume wake na hii ni mojawapo ya consortium rights ambazo zipo kwa mwanamke kwa mujibu wa sheria za ndoa. So dont be astonished . Yaweza ikawa moja wapo ya hayo nilioyaeleza yakawa ndio hali
 
mbona Mziwanda ameanza kulitumia muda mrefu kabla ya kwenda clouds
 
Huyu Dada Na Sauti Yake Namkubali Sana
Nikiwa Nasikia Chambuzi Zake; Akili inanikaa Sawa......Mivuruguo Inatulia

ahsante Jigo
 
Vipi Mtangazaji huyu tuliyemzoea kwa jina la REGINA MWALEKWA katika vyombo mbalimbali vya habari hapa Nchini kwa miaka nenda rudi,

Sasa amekua REGINA MZIWANDA alipohamia BBC - LONDON?

Hivi ni yule yule??? Mimi nilijua ni mwingine! Heee makubwa. Au ndo majina ya kusomea then mtu anarudi kwenye majina yake taratibu
 
Hivi ni yule yule??? Mimi nilijua ni mwingine! Heee makubwa. Au ndo majina ya kusomea then mtu anarudi kwenye majina yake taratibu

limeachika sasa ndo limeamua kutumia la baba yake
 
Ndo shida ya wanawake unabadilije jina bana ukiolewa na kuachika mara 3 maana dini inaruhusu utakuwa na majina mangapi sasa kutwa kuchwa kuapa mahakamani.. akuu kwani lazima ubadili jina, ona sasa mna comfuse watu.

binafsi sioni umuhimu wa mwanamke kubadili jina kisa ameolewa,kila mtu abaki na jina lake
 
Ni kweli. Mwaka 1995/96 akiwa Radio Tumaini , Regina Nazaeli ndio aliolewa na huyo Ndugu Mwalekwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…