Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi Mtangazaji huyu tuliyemzoea kwa jina la REGINA MWALEKWA katika vyombo mbalimbali vya habari hapa Nchini kwa miaka nenda rudi,
Sasa amekua REGINA MZIWANDA alipohamia BBC - LONDON?
Vipi Mtangazaji huyu tuliyemzoea kwa jina la REGINA MWALEKWA katika vyombo mbalimbali vya habari hapa Nchini kwa miaka nenda rudi,
Sasa amekua REGINA MZIWANDA alipohamia BBC - LONDON?
Hivi ni yule yule??? Mimi nilijua ni mwingine! Heee makubwa. Au ndo majina ya kusomea then mtu anarudi kwenye majina yake taratibu
Lakini sio kukashifu wenzako.we pia uliumbwa na aliyemuumba huyo "sanamu" unayemsemaSi kila comment yangu itakupendeza some time nipotezee tu, am freeman naandika chochote ninachojisikia.
tunafukua makaburiMh!!!!
Ndo shida ya wanawake unabadilije jina bana ukiolewa na kuachika mara 3 maana dini inaruhusu utakuwa na majina mangapi sasa kutwa kuchwa kuapa mahakamani.. akuu kwani lazima ubadili jina, ona sasa mna comfuse watu.
Una uhakika??rejina alikuwa hajaolewa alipoolewa na mume anaitwa mziwanda ndiyo kabadirisha
Ni kweli. Mwaka 1995/96 akiwa Radio Tumaini , Regina Nazaeli ndio aliolewa na huyo Ndugu Mwalekwa.Regina nakumbuka alianzia kazi Radio Tumaini na huko alijulikana kama Regina Nazahed. Baadae alivyoolewa ndio akawa anatumia Regina Mwalekwa na sasa hivi sijajua kimetokea nini nasikia Regina Mziwanda. Sasa sijui la baba ake ni Nazahed au Mziwanda au yote 2.