Mi naulizia kile cha magariHuyu mzee alisha tengeneza kile kiwanda chake cha sim?
Labda wa kitandani sema hauna mashindanoHivi kweli mungu kwenye michezo yote iliyopo duniani akuna ata mchezo mmoja ambao ninaumudu kisawasawa kwamba ningeucheza ningeweza kuliletea sifa taifa? Yani ata draft kweli?
Yupo busy kumpetipeti jack kwanza akimaliza atajenga usijaliHuyu mzee alisha tengeneza kile kiwanda chake cha sim?
Kwakweli sema ungekuwa wazi ndo ungejuwa kweli kuna mafundi.Labda wa kitandani sema hauna mashindano
Labda wiziHivi kweli mungu kwenye michezo yote iliyopo duniani akuna ata mchezo mmoja ambao ninaumudu kisawasawa kwamba ningeucheza ningeweza kuliletea sifa taifa? Yani ata draft kweli?
Mbona iyo ahadi ameahidi Paul makonda?Ahadi hiyo imetolewa na Mlezi wa timu ya vijana Serengeti Boys Dkt.Reginald Mengi pamoja na Kamati ya kuhamasisha ushindi wa timu hiyo inayoongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar, es salaam, Paul Makonda.
Michuano ya vijana ya AFCON inatarajia kuanza April 14, Tanzania ikiwa ni mwenyeji.
Serengeti Boys inahitaji kushinda mechi mbili ili kujikatia tiketi ya kufuzu michuano ya Kombe la Dunia kwa vijana chini ya miaka 17 itakayofanyika nchini Brazil mwaka huu.
View attachment 1069517
Sent using Jamii Forums mobile app
bado. CHADEMA wanamkwamishaHuyu mzee alisha tengeneza kile kiwanda chake cha sim?