Reginald Mengi aahidi milioni 20 Kila mchezaji, Serengeti Boys ikishinda mechi 2

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Ahadi hiyo imetolewa na Mlezi wa timu ya vijana Serengeti Boys Dkt.Reginald Mengi pamoja na Kamati ya kuhamasisha ushindi wa timu hiyo inayoongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar, es salaam, Paul Makonda.

Michuano ya vijana ya AFCON inatarajia kuanza April 14, Tanzania ikiwa ni mwenyeji.

Serengeti Boys inahitaji kushinda mechi mbili ili kujikatia tiketi ya kufuzu michuano ya Kombe la Dunia kwa vijana chini ya miaka 17 itakayofanyika nchini Brazil mwaka huu.
Serengeti1.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mechi mbili si tayar tutakua fainali? [emoji82]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hivi kweli mungu kwenye michezo yote iliyopo duniani akuna ata mchezo mmoja ambao ninaumudu kisawasawa kwamba ningeucheza ningeweza kuliletea sifa taifa? Yani ata draft kweli?
Labda wa kitandani sema hauna mashindano
 
Hivi kweli mungu kwenye michezo yote iliyopo duniani akuna ata mchezo mmoja ambao ninaumudu kisawasawa kwamba ningeucheza ningeweza kuliletea sifa taifa? Yani ata draft kweli?
Labda wizi

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Hawa vijana watakula mema ya nchi wakiwa wadogo Sana.
 
Ahadi hiyo imetolewa na Mlezi wa timu ya vijana Serengeti Boys Dkt.Reginald Mengi pamoja na Kamati ya kuhamasisha ushindi wa timu hiyo inayoongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar, es salaam, Paul Makonda.

Michuano ya vijana ya AFCON inatarajia kuanza April 14, Tanzania ikiwa ni mwenyeji.

Serengeti Boys inahitaji kushinda mechi mbili ili kujikatia tiketi ya kufuzu michuano ya Kombe la Dunia kwa vijana chini ya miaka 17 itakayofanyika nchini Brazil mwaka huu.
View attachment 1069517

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona iyo ahadi ameahidi Paul makonda?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ahadi inaweza ikawa zaidi ya zawadi waliyopewa stars, labda wapewe viwanja maeneo ya maana ila kwa Dodoma viwanja maeneo mengi bei iko chini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
$200,000 kwa Mengi ni peanut..Anampaga Jack akafanye shopping za nguo Dubai..Twende zetu Brazil
 
Back
Top Bottom