Unajisikiaje kuona ndugu zako wanateseka wakat wewe una kula bata na mke wako??
Unakwenda kinyume sana mkuu,!
Hebu kaa ufikir kwa busara na hekima,usipanick
safi kabisaUnapomtolea Mengi mfano kama huo unamaanisha nini mkuu?
Nisamehe kama nakumisjudge, are jacky's puppet?
Samahani kwa hilo.
Tukiendelea, naomba utambue kuna mila na desturi katika tamaduni zetu kwamfano uchaggani... yaani kule huwa ni ndugu tena ukoo. Huwa watu wanabebana. Watu wanainuana. Nataka utambue kuna makabila koo zina nguvu sana.
Huyo jacky angempenda mengi kama hangekua na pesa? Mengi pesa yake ameteseka yeye na ukoo wake na source ya pesa ikiwa ni mkewe binti shangali marehemu. Ndugu zake wametoka toka zero mpaka alikofikia. And maybe kama siyo wao wasingefikia hapo.
Ni wanawake wangapi wamewakimbia waume zao kisa hawana pesa na still ndugu zao wakasimama nao mpaka kuinuka tena?
On the contrary, kwa jamii ya kiafrica hata siku moja usikubali wewe peke yako ndo uwe don ama chied kwenye ukoo wakonpeke yako. Lawama zoote zitakua zoote zako. Kila ndugu atakulaumu hata kama huusiki na matatizo yao. Na ubaya zaidi siku ukianguka kumbuka hakuna wa kukuinua. Ila kama umewainua nduguzo siku ukianguka faster tuu unapata support. Ninao mfano hai. Jamaa alipata pesa, akaona siyo vizuri ngoja nipunguze mzigo. Akawasupport ndugu zake woote according to their wish. Siku yule mzee akaanguka. Ndugu wakakusanyika haraka sana. Wakajadili kisha wakamchangia. Jamaa with time akanyanyuka upyaaa.
Hata siku moja siwezi kuwa na raha eti naponda raha ilihali ndugu zangu wanateseka na njaa. Na mwenyezi Mungu unijaalie uwezo ili niwainue.
Swali la msingi, je, wakati ulipokua na uwezo, uliishi vipi na ndugu zako? Ulikua msaada kwao ama ndo dharau, kejeli etc? Ulikua msaada kwao pia?
Kama ulikua mwema kwao basi usiogope mwenyezi Mungu atakuinua tena juu zaidi na utakua wa viwango zaidi. Tuwapende ndugu zetu kwa madhaifu yao, tuwaelimishe na kuwasaidia.
Maishani waweza kuwa na partner ama ndugu we ama wabaya. Formula haiwezi fanana. Ila wema na ubaya vyote hulipwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mawazo ya kimaskini bna ni mzigo mzitoKwenye haya maisha kuna uncertainties nyingi, Leo ww tajiri, kesho ww kapuku, reginald mengi angefilisika, angechekwa na kusemwa vibaya na hao hao watu aliokuwa anawasaidia..
Wanasema ukisaidia MTU maskini Kwa kumpa pesa ndo unabarikiwa, ila kiuhalisia haiko hivo, ukisaidia mtu maskini kwa kumpa pesa, ndo unapungukiwa na kuishiwa, ukitoa elf 10 ndo imeenda iyo hairudi..
Kikubwa, MTU ukiwa tajiri, ni vizuri usisaidie mtu yoyote kwenye maswala ya pesa, saidia mkeo ulie nae kwenye ndoa, na wanao tu..ndugu na watu wengine wakifa kwa njaa, au wakifa kwa kukosa elf 5 ya dawa, sawa tu..
Asante sana. Umemaliza.
Mimi ni mwanamke. Haimaanishi nna wivu ila sisi pia ni nyoka. Wanaume wangapi wamehangaika wametengana mpaka na ndugu kisa wake zao wamewapatia kila kitu ila mwisho wa siku wamewasaliti tena wengine mpaka kuwaua kabisa waume zao wakaponde raha kwa mirathi? Either mke ama ndugu wote waweza kuwa wabaya ama wema. Tenda wema usisubiri malipo mazuri. Yatakuja with no time kwa njia nyingine kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ona unavyojishusha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji706][emoji706][emoji706]Inaonekana ww ni mdada mwenye miaka 20, unatoka familia inayojiweza kiuchumi Kwa kiasi chake, hlf unaandika hii comment huku ukijambia masofa ya wazazi wako, kua uyaone maisha pendomamtefu
mkuu huyu mpaka anasema hivi kuna kitu kimemfika, mimi pia yalishawahi kunikuta ningekuwa na moyo kama wa dudubaya kuna watu ningekuwa nimeshawatwanga risasiUnajisikiaje kuona ndugu zako wanateseka wakat wewe una kula bata na mke wako??
Unakwenda kinyume sana mkuu,!
Hebu kaa ufikir kwa busara na hekima,usipanick
Roho mbayaaaaamkuu huyu mpaka anasema hivi kuna kitu kimemfika, mimi pia yalishawahi kunikuta ningekuwa na moyo kama wa dudubaya kuna watu ningekuwa nimeshawatwanga risasi
Tena wewe ndio utakuwa wa kwanza kula risasi 😎😎