Rehema Chalamila a.k.a. Ray c asarenda kwa Yesu Kristo

Rehema Chalamila a.k.a. Ray c asarenda kwa Yesu Kristo

Hivi huyu Ray c siku hizi kaanza kupiga mkorogo?
Mbona naona kawa mweupe sana? Any way labda ndo side effect za sembe !!
 
Tofauti sana maana hao akina Mzee wa Misukule, Mito ya Baraka, Mzee wa Upako na akina Mwingira zile ni ministry ndiyo hazina misingi ya makanisa ni vikundi vya wajanjawajanja.Kwa hiyo ameenda kuokokea kwenye vikundi vya wajanja wajanja na kuenda amepigwa 10% kwa ajili ya kutangaza jina la kanisa hilo
You miss something.

Wokovu upo ndani, na ni uamuzi wa nafsi ya mtu. Kazi ya haya makanisa ni kukufundisha tu njia za kuufikia huo wokovu, hata huyu Rehema atakuwa anajidanganya sana kama anafikiri kwa kubatizwa tu amepewa nguvu za kumkanyagakanyaga shetani, labda kama wachungaji wake hawajamfundisha kujua Mungu ni nani na shetani ni nani . Hili la ujanjaujanja lipo kwenye makanisa yote unayoyafahamu na huko kwenu laweza kuwa limekithiri.

Plausible move though.
 
Ee mwenyezi Mungu mtie nguvu ya uvumilivu kwa safari ya wokovu ni ndefu na yenye vikwazo vya kila aina,hongera sana RC kwa uamuzi wako wa busara
 
Kama hizi ndio sababu zilizomfanya afanye hivyo basi inabidi tumwombee kwa mungu, atakuwa na matatizo yanayohitaji kufunga na maombi.

Sababu nlizokuonesha zatoka kwenye NENO then unasema ufunge na kuomba kwaajili ya sababu zinazotoka kwenye NENO huyo mungu unayemuomba ni yupi!!!!

ninayenfahamu mimi ndiye alimruhusu kufanya hivyo kwendana na NENO lake sa sielewi kama atakuelewa au ni wewe hujielewi.
 
Da wakuu kaenda kanisa la Munuo la siloam msanii huyo sijawahi ona mchungaji mchaga mjanjamjanja.
 
mmh baada ya kufanya yake leo ndio anaokoka? Tumuogopeni Mungu Jamani
 
Ask those who have been robbed to report to police!!Otherwise shut the fack up!

Hahahaha ndiyo matatizo ya hizo Ministry mnazosali siwezi kushangaa hata kidogo na mtaibiwa sana ndiyo maana mnaona akina Mwingila wanaendesha VX direct kutoka kiwandani na akina mzee wa misukule nao wanaendesha mavoug kwa sababu ya watu kama ninyi
 
Mkuu Max, kumbe upo?!. Nakubaliana na wewe ni kweli Yesu anabatiza kila kukicha, ili pia Yesu mwenyewe alituasa, kuwa siku za mwisho zikikaribia, watajitokeza "yesu" "watatoa mapepo kwa jina langu!, watafanya miujiza ya uponyaji kwa jina langu!, lakini sio wa kwangu!".

Jee unajuaje huyo anayebatiza kama ni Yesu au "yesu?!.

Kwa maoni yangu, huyu binti kwa sasa yuko "desperate" hivyo she can do anything!. Take it from from, kwa jinsi nilivyosoma bandiko lake, hiyo ni kazi ya "yesu!" and time will tell not so long!.
Pasco.

Mkuu, nipo sama na naendelea kubatiza hawa jamaa. Yesu ni Mmoja tu, ingawa umetumia herufi ya "y" badala ya "Y". Hata kule Mexico wapo akina Yesu wengi sana. Lakini hawana ubavu wa kubatiza kama Yesu Mungu.

Dada R C kafanya jambo jema, na nategemea Mungu ataendelea kumpa nguvu kushindana na vita ya kiroho.

Hata hivyo biblia hutuasa kuwa vita hii si ya jinsi ya kibinadamu yaani ya mwilini.

Efeso 6: 12 Kwa maana kushindana kwetu si juu ya nyama na damu, bali dhidi ya falme, mamlaka, dhidi ya wakuu wa giza na majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.


2 Wakorintho 10: 3 Ingawa tunaishi duniani lakini hatupigani vita kama ulimwengu ufanyavyo. 4 Silaha za vita vyetu si za mwili, Bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome. 5 Tukiangusha mawazo na kila kitu kilichoinuka, kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu na tukiteka nyara kila fikira ipate kumtii Kristo,
 
Allah ni kiarabu, God ni kiingereza, Mungu ni Kiswahili, Jah ni kwa wale wanaoamini katika Urastafarian, Lakini majina yote hayo Mungu, Alalh, Jah, God n.k yanamaanisha yule tunaemuabudu yaani Mungu. Sasa unaposema dini ya Allah ni sawa na umesema dini ya God, Mungu n.k. But all in all UDINI ulionao au unaoujenga hakusaidii hata kidogo shetani wewe!

Kijana, kajiratibu tena. ALLAH SI MUNGU na hata kwenye Koran Allah kasema hakuna Mungu, zaidi ya hapo Allah hakuwai sema hata sehemu moja kuwa yeye ni Mungu. Kama unabisha niletee aya moja tu ya Allah wenu akisema yeye ni MUNGU..



YESU KRISTO NI MUNGU,
 
We Max hapa umeshachuma dhambi ya kuongea uongo nani kakwambia kua RC alikua Muislamu? Alafu hii ni mara ya pili nakuelewesha kua Leno Allah= God= Mungu lakin bado naona unaendekeza ushabiki wa dini,Kamwe dini haishabikiwi kama unavyoshabikia mpira fanya matendo mema yanayompendeza Mungu, kukaa na kushabikia udini hakutakusaidia chochote ktk maisha yako zaidi ya kuendelea kua mfuasi wa shetani,
kwa hio hapo dini ya Mwenyezi Mungu imepukutika kivipi?Dini ya Mwenyezi Mungu inapukutuka au mnapukutika nyinyi wafuasi wa shetani mnashabikia udini badala ya kufanaya matendo mema?

Pole sana. dhambi sijalamba, labda nikueleweshe kidogo. Katika posti yangu sikusema uliyo nisingizia, in contrast, nimesema kuwa Yesu anabatiza kila kukicha huku Allah akiendelea kulamba galasa. Sisi wa upande wa Yesu tunapo ongezeka, elewa kuwa ALLAH Mpinga Mungu anaendelea kukosa wafuasi.

Haya Ngoja ni address issue ya Mungu, Allah na Ilaha.

ilâha = God, deity, object of worship

allâh = allâh

Kwahiyo, Kiarabu Mungu ni ILAHA na sio ALLAH, in contrast, Yesu/Jesus is Yasu in ARABIC and not ISA.
 
Allah ni kiarabu, God ni kiingereza, Mungu ni Kiswahili, Jah ni kwa wale wanaoamini katika Urastafarian, Lakini majina yote hayo Mungu, Alalh, Jah, God n.k yanamaanisha yule tunaemuabudu yaani Mungu. Sasa unaposema dini ya Allah ni sawa na umesema dini ya God, Mungu n.k. But all in all UDINI ulionao au unaoujenga hakusaidii hata kidogo shetani wewe!

ilâha = God, deity, object of worship


allâh = allâh

Accordingly, Allah is not God but Anti-God.
 
we si nasikia umeachwa na mkeo nenda kafundishwe elimu ya ndoa na Mchungaji.Kiongozi.Mbunge.Mheshimiwa.Dr.Mama Getrude Rwakatale

Kumbe na wewe una ndoto kama za Mtume wa Allah., Aiseeh. Umesha pigwa kabali au bado...
 
Back
Top Bottom