Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You miss something.Tofauti sana maana hao akina Mzee wa Misukule, Mito ya Baraka, Mzee wa Upako na akina Mwingira zile ni ministry ndiyo hazina misingi ya makanisa ni vikundi vya wajanjawajanja.Kwa hiyo ameenda kuokokea kwenye vikundi vya wajanja wajanja na kuenda amepigwa 10% kwa ajili ya kutangaza jina la kanisa hilo
Kama hizi ndio sababu zilizomfanya afanye hivyo basi inabidi tumwombee kwa mungu, atakuwa na matatizo yanayohitaji kufunga na maombi.
Ask those who have been robbed to report to police!!Otherwise shut the fack up!
nosense!!!
Why? Ni lazima kufurahia kwa kuponda imani za wengine.
Uko sawa mkuu? nini hiki?? Acha kukashifu dini za wengine. Wema alisilimu, Rose Ndauka akafuata, wolper naye ndani. Mbona waislam hawakutoa kashfa?? Si vizuri Mkuu
Mkuu Max, kumbe upo?!. Nakubaliana na wewe ni kweli Yesu anabatiza kila kukicha, ili pia Yesu mwenyewe alituasa, kuwa siku za mwisho zikikaribia, watajitokeza "yesu" "watatoa mapepo kwa jina langu!, watafanya miujiza ya uponyaji kwa jina langu!, lakini sio wa kwangu!".
Jee unajuaje huyo anayebatiza kama ni Yesu au "yesu?!.
Kwa maoni yangu, huyu binti kwa sasa yuko "desperate" hivyo she can do anything!. Take it from from, kwa jinsi nilivyosoma bandiko lake, hiyo ni kazi ya "yesu!" and time will tell not so long!.
Pasco.
Ray C hakuwa muislamu lakini. Alikuwa mkatoliki. So ametoka ukatoliki na kuwa mprotestant. Soma maelezo yake aliyoyatoa kabla ktk link hii RAY AKANUSHA KUWA NA VIRUSI VYA VVU... | VITUKO VYA MTAA
Allah ni kiarabu, God ni kiingereza, Mungu ni Kiswahili, Jah ni kwa wale wanaoamini katika Urastafarian, Lakini majina yote hayo Mungu, Alalh, Jah, God n.k yanamaanisha yule tunaemuabudu yaani Mungu. Sasa unaposema dini ya Allah ni sawa na umesema dini ya God, Mungu n.k. But all in all UDINI ulionao au unaoujenga hakusaidii hata kidogo shetani wewe!
We Max hapa umeshachuma dhambi ya kuongea uongo nani kakwambia kua RC alikua Muislamu? Alafu hii ni mara ya pili nakuelewesha kua Leno Allah= God= Mungu lakin bado naona unaendekeza ushabiki wa dini,Kamwe dini haishabikiwi kama unavyoshabikia mpira fanya matendo mema yanayompendeza Mungu, kukaa na kushabikia udini hakutakusaidia chochote ktk maisha yako zaidi ya kuendelea kua mfuasi wa shetani,
kwa hio hapo dini ya Mwenyezi Mungu imepukutika kivipi?Dini ya Mwenyezi Mungu inapukutuka au mnapukutika nyinyi wafuasi wa shetani mnashabikia udini badala ya kufanaya matendo mema?
Allah ni kiarabu, God ni kiingereza, Mungu ni Kiswahili, Jah ni kwa wale wanaoamini katika Urastafarian, Lakini majina yote hayo Mungu, Alalh, Jah, God n.k yanamaanisha yule tunaemuabudu yaani Mungu. Sasa unaposema dini ya Allah ni sawa na umesema dini ya God, Mungu n.k. But all in all UDINI ulionao au unaoujenga hakusaidii hata kidogo shetani wewe!
we si nasikia umeachwa na mkeo nenda kafundishwe elimu ya ndoa na Mchungaji.Kiongozi.Mbunge.Mheshimiwa.Dr.Mama Getrude Rwakatale