kapona?
Kawa mtangazaji?
Sent from BlackBerry 9800 using JamiiForums
hapana kawa presenter kamandaaaaaaaaaaaKawa mtangazaji?
Sent from BlackBerry 9800 using JamiiForums
haswaa!kweli wengi watoto wadogo humu.
Ray C ni mtangazaji wa muda mrefu na ndio kazi kabla haamua kuchagua muziki.
Ameanzia East Africa radio akitangaza kipindi chake kila jumamosi.
Tena alikuwa DJ na alipokwenda mawingu alipewa kipindi cha Dr Beat sasa XXL.
Hivyo yeye ndo mkongwe kuliko wote kwenye hicho kipindi.
Ray C ndio madj wetu wa mwanzo wanawake ukitoa yule demu aliyekuwa bilicanus miaka ya tisini.
apewe kipindi cha kukemea madawa ya kulevya.
atafunika vilivyo maana atawahoji washirika wake wa sembe.!!
Kawa mtangazaji?
Sent from BlackBerry 9800 using JamiiForums
lol.mkuu mi mshamba bhana,nifafanulie tofauti ya mtangazaji wa radio na radio presenter.hapana kawa presenter kamandaaaaaaaaaaa
kweli wengi watoto wadogo humu.