Rehema Chalamila live on clouds fm anatangaza mda huu wa mchana.

Skype

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
7,266
Reaction score
1,633
Wadau namsikia Rehema Chalamila sasa hivi anatangaza clouds fm, wanaotaka kumsikiliza tune redio hiyo
 
Kawa mtangazaji?

Sent from BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hata mimi nimeshangaa kumsikia akipeperusha matangazo ndani ya clouds fm kipindi kinaitwa daboli eksi elo.
 
Chaguo sahihi kaamua kwenda kwa wafu manake ye yuko nusu kaputi
 
kweli wengi watoto wadogo humu.
Ray C ni mtangazaji wa muda mrefu na ndio kazi aliyoanza nayo kabla haamua kuchagua muziki.
Ameanzia East Africa radio akitangaza kipindi chake kila jumamosi.
Tena alikuwa DJ na alipokwenda mawingu alipewa kipindi cha Dr Beat sasa XXL.
Hivyo yeye ndo mkongwe kuliko wote kwenye hicho kipindi.
Ray C ndio madj wetu wa mwanzo wanawake ukitoa yule demu aliyekuwa bilicanus miaka ya tisini.
 
kweli wengi watoto wadogo humu.
Ray C ni mtangazaji wa muda mrefu na ndio kazi kabla haamua kuchagua muziki.

haswaa!
 
radio ya wavuta bange na wavuta unga.
 
hapa tatizo linaonekana ni hapo alipo,labda angekwenda radio nyingine ingekuwa poa.
 
Kaaaaazi kweli kweli maana vijana naona mnakurupuka sana hata hamsomeki, Huyu binti alikuwa mtangazaji kule East Africa Radio na baadae akahamia Clouds FM na akajichanganya kiaina na ile iliyokuwa Project ya Smooth Vibe, Akaamua kusimama mwenyewe kwa Copy na Paste za wasanii wakongwe huku akichanganya na zake mwenyewe kabla na akaachana na radio akikomalia muziki moja kwa moja mpaka alipodata na kuamua kuwa TEJA... Shetani karudi kwenye MBUYU a.k.a Clouds FM
 
kweli wengi watoto wadogo humu.
Ray C ni mtangazaji wa muda mrefu na ndio kazi kabla haamua kuchagua muziki.
Ameanzia East Africa radio akitangaza kipindi chake kila jumamosi.
Tena alikuwa DJ na alipokwenda mawingu alipewa kipindi cha Dr Beat sasa XXL.
Hivyo yeye ndo mkongwe kuliko wote kwenye hicho kipindi.
Ray C ndio madj wetu wa mwanzo wanawake ukitoa yule demu aliyekuwa bilicanus miaka ya tisini.

Kumbe! Sikuwahi kulijua hili nashukuru umenipa ufaham kuhusu dada Rehema.
 
Back
Top Bottom