Rehema Chalamila live on clouds fm anatangaza mda huu wa mchana.

Rehema Chalamila live on clouds fm anatangaza mda huu wa mchana.

Kaaaaazi kweli kweli
maana vijana naona mnakurupuka sana hata hamsomeki, Huyu binti alikuwa
mtangazaji kule East Africa Radio na baadae akahamia Clouds FM na
akajichanganya kiaina na ile iliyokuwa Project ya Smooth Vibe, Akaamua
kusimama mwenyewe kwa Copy na Paste za wasanii wakongwe huku
akichanganya na zake mwenyewe kabla na akaachana na radio akikomalia
muziki moja kwa moja mpaka alipodata na kuamua kuwa TEJA... Shetani
karudi kwenye MBUYU a.k.a Clouds FM

mi najua mateja huwa hawaachi kuvuta sembe huwa wanapumzika tu soon mtaanza kuona anabembea tena
 
kwenye muziki kachemsha au atapiga kazi zote mbili?
 
Huyu dada hana akili nzuri,maisha siku zote ni kuishi na kujifunza,sasa yeye kapita kipindi kigumu alizidiwa na madaw hoi,katafuta msaada kila sehemu wapi,hao clouds wakamchunia kimya,mpaka raisi akaamua kuingilia kati na kuamua kumsaidia hadi akarudi katika hali yake ya kawaida,sasa hajajifunza nani rafik na nani adui,anarudi kule kule,kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni,yani walikuwa wanasubir afe ili waanze promo zao,nadhan walikuwa wanaomba sana itokee
 
Teja karudi bogo kenya kumemshinda na hicho kipindi sisikilizi kuna kigoli anaitwa baba j nae nafikiri mla sembe
 
Kuna kipindi hawa jamaa waliweka mgomo baridi wa kupiga nyimbo zake naona amekubali yaishe kama mwana mpotevu kwenye bible alivyorudi na kumwangukia babaye......
Kama amefanikiwa kuacha kilichompotosha itakuwa ni habari njema.
 
I think ni kumuacha aamue maisha yake jamani...km alikuwa huko na hakutumiaga sembe mwacheni arudi..me nadhani huko kwenye miziki ndo kunamfanya abwie unga..tena ikiwezekana akaajiliwe ht ofisini ilI aweze kujitune na life la kazi
 
Back
Top Bottom