komeka
JF-Expert Member
- May 1, 2013
- 1,072
- 403
Kaaaaazi kweli kweli
maana vijana naona mnakurupuka sana hata hamsomeki, Huyu binti alikuwa
mtangazaji kule East Africa Radio na baadae akahamia Clouds FM na
akajichanganya kiaina na ile iliyokuwa Project ya Smooth Vibe, Akaamua
kusimama mwenyewe kwa Copy na Paste za wasanii wakongwe huku
akichanganya na zake mwenyewe kabla na akaachana na radio akikomalia
muziki moja kwa moja mpaka alipodata na kuamua kuwa TEJA... Shetani
karudi kwenye MBUYU a.k.a Clouds FM
mi najua mateja huwa hawaachi kuvuta sembe huwa wanapumzika tu soon mtaanza kuona anabembea tena