jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
We acha tu!!Nahisi utakuwa ni huo mti mkuu coz bado naskia harufu yake hapa nilipo aseee.
Sasa huu mti MKENGE kuna sehem huwa unaingizwa basi ukiingizwa hiyo sehem maumivu yake ni makali kupita kiasi.
Ni hatari sana kwa kweli.
Kutoka NDUKI sii ujinga ujue!!
Shauri yao wanaoendelea kushangaashangaa, wataingizwa nakwambia'!!!