Rehema Makes 13,465,707Tsh/Month From Home And You Won't Believe How She Does It!

Rehema Makes 13,465,707Tsh/Month From Home And You Won't Believe How She Does It!

Nahisi utakuwa ni huo mti mkuu coz bado naskia harufu yake hapa nilipo aseee.

Sasa huu mti MKENGE kuna sehem huwa unaingizwa basi ukiingizwa hiyo sehem maumivu yake ni makali kupita kiasi.

Ni hatari sana kwa kweli.
We acha tu!!
Kutoka NDUKI sii ujinga ujue!!
Shauri yao wanaoendelea kushangaashangaa, wataingizwa nakwambia'!!!
 
Hawa ndo waliozoea pesa za dezo. Na wameanza kuishi kama mashetani
 
Umeongea sahihi "you won't believe how she does it"

Na kama unavyoona hakuna anayekuamini
 
We acha tu!!
Kutoka NDUKI sii ujinga ujue!!
Shauri yao wanaoendelea kushangaashangaa, wataingizwa nakwambia'!!!

Hahahaaa ni kweli kabisa kiongozi mtu akiingizwa hapa lazma tuskie makelele coz maumivu ya huo mti ni makali mno wacha washangae tu mkuu kama unavyosema aseee. Heheh.
 
Back
Top Bottom