Rejea kifo cha wazazi wa Anna: Maisha hayana maana kama hakuna kifo

Hizi habari nimezidikia juu juu ndio nadoma rasmi, unaujua ubize wangu.
Kama una taarifa kamili kuwa huyo mtoto ni wa wapi..mkoa, wilays nk nijuze nifanye kitu kidogo kwa ajili yake, imeniuma sana
Maneno yako yawe hakika.. pia uzime kamera wakati unasaidia
 
Mkuu mm pia nakubaliana na hyo theory kwmb time ikifka you must die ila ebu muelewe uyo jamaa kwmb kwnn rate ya vifo ipo juu sana uku third world countries na co kwa wenzetu uko je kuna upendeleo wowote apa duniani?
Daah unanishawishi nifungue uzi mkuu kwa hili swali maana hapa kwa comment sitatoa majibu ya kueleweka
 
Mods Ahsante sana kwa kunirekebishia bandiko langu...Barikiweni
 
Daah unanishawishi nifungue uzi mkuu kwa hili swali maana hapa kwa comment sitatoa majibu ya kueleweka
Itakuwa vzr kiongozi mana nina maswali kiasi kuhusu mortality rate ya Africa when you compare it with that of developed countries
 
Kinachokufa siku zote huwa ni mwili na si roho!
Haya maisha yako kama filamu.

Wafu hao walishaikamilisha mission yao duniani kwa namna yeyote ile wangekufa tu ili kupisha nafasi yao kuchukuliwa na kiumbe kingine ila kwa roho zilezile.
Naweza nisieleweke haraka iko hivi siku, saa, dk na sekunde waliyokufa wale wafu ndiyo siku viumbe wengine wapya walipata uhai.

Ikitokea mtu kafa na roho yake haijapata mahali pa kwenda basi ile roho itasumbua tu itahangaika sana hadi pale itakapopata makazi (mwili) ndipo itatulia
 
Ngoja nikutag somewhere
 
Hizi habari nimezidikia juu juu ndio nadoma rasmi, unaujua ubize wangu.
Kama una taarifa kamili kuwa huyo mtoto ni wa wapi..mkoa, wilays nk nijuze nifanye kitu kidogo kwa ajili yake, imeniuma sana
Kwao ni dar, Sina details kamili mkuu
 
Back
Top Bottom