Rekodi 10 za Samia Suluhu ambazo hazijawahi kufanywa na Rais yeyote

Rekodi 10 za Samia Suluhu ambazo hazijawahi kufanywa na Rais yeyote

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
26,519
Reaction score
78,311
Rekodi 10 za Samia Suluhu ambazo hazijawahi kufanywa na Rais yeyote ni hizi hapa:
1706088170866.png
 
Rais Samia tayari ameingia katika Kitabu Cha KUMBUKUMBU, Marais wa kiume wote waliogopa maandamano. Tabia ya mama mlezi imejidhihirisha wazi, aliyepita alisema mwanafunzi anayezaa akiwa shule sitaki kumwona kwenye utawala wangu, mama mlezi ameruhusu warudi shule. Aliyepita alisema uchaguzi ukiisha basi hakuna mikutano mpaka miaka 5, mama mlezi amefungua mikutano. Aliyepita alichagua yeye kuanzia serikali za mitaa, madiwani, wabunge na Rais, hapa mama mlezi ndipo anapotakiwa aonyeshe uchaguzi ujao viongozi wachaguliwe na Wananchi, siyo achague yeye kama aliyepita. HI NI HISTORIA tayari imeandikwa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huwa nikiwa kule jukwaa jingine nikiwanyoosha Suku gang unanitukana.

Sasa umekuja huku jukwaa la siasa ngoja Haters wa Samia wakumimimie matusi Hadi akili zikae sawa 😂😂
Hapa tunaongelea mambo 10 ya Mh. Samia Suluhu. Wewe maoni yako ni yapi?
 
Ungekua karibu ningekutandika Kofi, Kuna mada zinakera sana... Na kwenye tanesco mnampa sifa sio?
 
Back
Top Bottom