Rekodi 10 za Samia Suluhu ambazo hazijawahi kufanywa na Rais yeyote

Watu wanaandamana vizuri tu. Hii ndiyo Tanzania mpya.
 
TANESCO ipate faida katika mazingira haya kwa biashara ipi?
 
Upuuzi wa hali ya juu, maji yalitakiwa yawe tayari mda mrefu kwa Watanzania wa sehemu kubwa nchini, baada tu ya UHURU.

Tuambie nani amechelewesha maji ,chama? na nani ameleta hayo maji chama ??

Ni CCM hao hao ambao wameshindwa kimsingi muda mrefu wa uwepo madarakani.

Umeandika as if upinzani ulishika Dola then ukatoka ikaingia CCM ikaja kutatua tatizo, kumbe ni CCM ileile.

NI UZI WA KIJINGA kwangu Toka mwaka uanze!

by the way, pesa bya hayo mambo ni KODI ZA WATZ.
 
Huu ndio uzi bora kabisa. Ni watu wenye akili tu wanauelewa. Wengine hawawezi kuelewa
 
Pongezi zote ziende Kwa Magufuli Kwa kumuona Kwa jicho lake la 3 na kumchagua awe makamu wake wa Raisi

Kama angemchagua makamu wa rais kilaza angekuwa ametuachia balaa kubwa sana

Hongera Magufuli Kwa kutuletea mama
 
Back
Top Bottom