Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Rais Samia tayari ameingia katika Kitabu Cha KUMBUKUMBU, Marais wa kiume wote waliogopa maandamano. Tabia ya mama mlezi imejidhihirisha wazi, aliyepita alisema mwanafunzi anayezaa akiwa shule sitaki kumwona kwenye utawala wangu, mama mlezi ameruhusu warudi shule. Aliyepita alisema uchaguzi ukiisha basi hakuna mikutano mpaka miaka 5, mama mlezi amefungua mikutano. Aliyepita alichagua yeye kuanzia serikali za mitaa, madiwani, wabunge na Rais, hapa mama mlezi ndipo anapotakiwa aonyeshe uchaguzi ujao viongozi wachaguliwe na Wananchi, siyo achague yeye kama aliyepita. HI NI HISTORIA tayari imeandikwa.
Huwa nikiwa kule jukwaa jingine nikiwanyoosha Suku gang unanitukana.Rekodi 10 za Samia Suluhu ambazo hazijawahi kufanywa na Rais yeyote ni hizi hapa:
View attachment 2881351
Kwani tulikuwa na shida ya CT SCAN au wataalam wa kuzitumia CT SCAN..Rekodi 10 za Samia Suluhu ambazo hazijawahi kufanywa na Rais yeyote ni hizi hapa:
View attachment 2881351
Hapa tunaongelea mambo 10 ya Mh. Samia Suluhu. Wewe maoni yako ni yapi?Huwa nikiwa kule jukwaa jingine nikiwanyoosha Suku gang unanitukana.
Sasa umekuja huku jukwaa la siasa ngoja Haters wa Samia wakumimimie matusi Hadi akili zikae sawa ππ
Hii ndo shida ya kutumia ma"** badala ya ubongo
Hazikuwepo za kutoshaKwani tulikuwa na shida ya CT SCAN au wataalam wa kuzitumia CT SCAN..