Rekodi hii ya Simba inaweza isivunjwe miaka 20...

Rekodi hii ya Simba inaweza isivunjwe miaka 20...

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
1679661751977.png

Klabu ya soka Tanzania kutoa mchezaji wa kuitwa national team kwa timu ambayo iko ranked na FIFA no 2 Africa?

Hii rekodi inaweza isivunjwe kabisa Kwa mda mrefu sana au isivunjwe kabisa.
 
Kuitwa si ishu je? Anacheza (Jana sikumuona chama hata bench)
 
Kaitwa kwenda hutumbuiza, kamwe hutamuona anacheza
 
Kweli kabisa Ni jambo kubwa lakini naona Kama watu wanalichukulia poa na hata Simba wenyewe..
Inaanzia kwa media, mambo ya Simba wanayafifisha kwa maksudi ndiyo maana unaona hivyo. Na wanaSimba pia wamezoea mambo makubwa kwa hiyo wanaona siyo ishu.

Ila historia huwa haisahau hata pale binadamu wanataka usahau.
 
Klabu ya soka Tanzania kutoa mchezaji wa kuitwa national team..Kwa timu ambayo iko ranked na FIFA no 2 Africa??

Hii rekodi inaweza isivunjwe kabisa Kwa mda mrefu sana......au isivunjwe kabisa...
Kwanini umewaza miaka 20 ina maana soka la bongo lita baki hivi hivi kwa miaka 20?
 
Klabu ya soka Tanzania kutoa mchezaji wa kuitwa national team kwa timu ambayo iko ranked na FIFA no 2 Africa?

Hii rekodi inaweza isivunjwe kabisa Kwa mda mrefu sana au isivunjwe kabisa.
za chini ya kapeti kwa mujibu wa ambangile jamaa anaitwa kimchongo kuna mabosi nyuma ya jamaa wanatengeneza mazingira ili waje kupiga pesa ufaransa huko,ila hana kiwango cha kuitwa Senegal,huyo na nkane ni sawa tu
 
Back
Top Bottom